Unamanisha hata ile siku ya Kwanza tukio lilipotokea TBC Hawakutangaza kabisa au Mwendelezo wa tukio ndo haujatangazwa,kama hawakutangaza hata ile siku ya kwanza ya tukio basi "its a Problem and we should ask why ?"
Hili binafsi sijalifurahia kwani ni ni mpenzi wa TBC habari sijaona mpaka magazetini.habari kiundani nimezipata hapa JF!
Huo Sio uzalendo habari kwa Manufaa ya wananchii!