TBC kuonesha mechi zote za kombe la Dunia

TBC kuonesha mechi zote za kombe la Dunia

Je Vikao vya UVCCM na CC vikiwepo nikipi kita prevail?
 
Hili ni Janga kwa wanamichezo Tz Hawa jamaa wana picha mbovu sana... naomba wapewe haki wenye ving'amuzi vyenye ubora mkubwa... World cup ni Starehe alaaa.... sio siasa...
 
TBC 2 ndio itarusha mpira. TBC1 itaendelea na ukada.
 
mmmh na bunge nalo litakuwa hewani kipindi hicho kwa hiyo tujiandae kukosa match nyingi tu
 
Hili ni Janga kwa wanamichezo Tz Hawa jamaa wana picha mbovu sana... naomba wapewe haki wenye ving'amuzi vyenye ubora mkubwa... World cup ni Starehe alaaa.... sio siasa...

Nadhani Fifa wapo kutengeneza pesa sidhani kama Kampuni yoyote itakatazwa kununua rights wala sidhani kama TBC wamebid kwa exclusivity.., labda useme tatizo TBC wanatumia nguvu yao ya kutumia pesa za mlipa kodi kuweza kununua rights ambazo huenda makampuni mengine yanaona haitalipa..., ila sidhani kama wanakatazwa kama wakilipa
 
Ni tbc2 , hivyo kama huna kisimbusi cha startimes ndio basi tena, nao wamefanya makusudi ili kuwabania makampuni mengine yenye visimbusi wanaopata tbc1.

TBC 1 na 2 ni kaka na dada, wote walewale hakuna ubunifu wowote, kuhusu visimbuzi hata 2010 walitishia hivyo tukakimbia kuvinunua matokeo yake mechi zikaendelea kuonyeshwa TBC1 wakati huo ni anaojia.
 
Je Vikao vya UVCCM na CC vikiwepo nikipi kita prevail?
Mkuu nawee ulikuwa unawaza km mm Afadhali wakati yupo TIDO upuuzi huo hakuupa Nafasi alichokuwa anajali ni Watazamaji wake lkn hao waliopo ss! Kwanza wajilIdhishe kuwa CCM hawatakuwa na UGORO wakuwalisha wasiojitambua ndo waendelee na mambo Mengine kiukweli kwa Mdau wa SOKA kutegemea TBC kuona KOMBE la DUNIA ni MSIBA MZITO,,,,!
 
Dstv ndo kila kitu...hata wasipoonesha intarahamwe hao...
 
Hii 2015 lowasa,akiingia ikulu lazima ibinafsishwe!alaah,huwezivkuwa na television ya taifa mbovu hivyo!
 
Na Matangazo ya bunge watamwachia nani atangaze!

Muda wa hapa na Brazil ni tofauti sana mkuu. Nadhani JK kamuiga M7 wa Uganda ambaye amenunua haki zote za matangazo ya kombe la dunia ili wananchi waangalie bure!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom