Dar_Millionaire
JF-Expert Member
- Aug 6, 2008
- 227
- 89
Yaani ni aibu tupu hembu fikiria habari wana cut and paste habari ya mwezi mei wanaifanya ya leo ,ukiangalia TBC1 wanatumika kwa propaganda walikuwa wanawasgusga hadhi mawaziri wa wizara hiyo huko CCM kunamgawanyiko wa ajabu sijapata kuiona chombo cha serikali kinatumika kuangusha bajeti ya wizara fulani,CCM lazima waondoke watatumbkiza nchi yetu kwenye janga kubwa sana tusipokuwa makiniAmewachana live waache taarifa za uongo kama vyombo vingine vya habari,aibu sana kwa chombo cha serikali kuumbuliwa bungeni
Wajikute!Hebu ngoja nisubiri taarifa ya habari ya saa2 ya TBC1 kama watairusha hiyo habari ya Mwakyeme.
tbc habari zao zinatia shaka katika umakini...
Tbc cjui mnatumia vigezo gani katika kumchagua mtu wa kufanya nae mahojiano..?
Sasa cjui ni kwa faida ya taifa au ccm...?
Daniel mshana upo wapi?
Ulipokabidhiwa kiti kw mbwembwe nyingu ulituahidi utayaendeleza yote mazuri aliyoyaanzisha tido mhando.... But now mambo ni kuelekea kuyumba...! Ni ovyooo... Tatizo nn ndg yetu mshana?
Mifano:
Leo mchana ktk taarifa yao ya habari baada ya bunge kuhairishwa, walimwonyesha mh mrema anazungumzia siasa majitaka badala
ya kuchangia hoja muhimu ktk wizara ya ujenzi!
Tbc haikuonyesha wabunge wengine wa ccm na cdm waliotoa michango ya hoja nzuri, wananchi wapiga kura wao wakapata kuona kuliko kupoteza muda na mh mrema...!
Jioni hii mjengoni mhe dr mwakyembe amewa mind tbc kutokana na taarifa ya habari ya jana usiku ya upotoshaji kuhusu kusema uongo
kuwa contractors wote wa barabara wamegoma kufanya kazi zao mkoani tabora! Mh n/waziri alikuwa anajaribu kutoa ufafanuzi ktk swali aliloulizwa na mh rage mb wa tabora mjini....!
Katika hiyo taarifa yao tbc wanadai walifanya mahojiano na tan roads manager wa tabora huko mjini tabora... Wakati mh n/waziri anajibu
swali la mb rage, amesema huyo tanroad manager wa tobara yupo dodoma zaidi ya 2 weeks, ktk hiki kipindi cha bunge akihusika kuitayarisha bajeti ya wizara husika!!!
Mh n/waziri alikanusha hilo.
Tido mhando tunakukumbuka sana kwa ujuzi na uhodari wako enzi zako ulipokuwa tbc dg.....!

Sasa hivi katika majumuisho ya bajeti ya wizara ya ujenzi Mh. Aden Rage ameuliza, "Jana nilisikia TBC kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku kuwa makandarasi wa barabara mkoani Tabora wamegoma kwa sababu ya kucheleweshewa malipo. Namuomba mheshimiwa waziri au naibu waziri [wa ujenzi] atoe kauli kuhusu hilo"

Naibu waziri akaeleza kuwa hata yeye aliona taarifa hiyo kwenye TV ya TBC jana usiku. Hata hivyo alishangaa kuona Meneja wa Mkoa wa Tabora wa TANROADS akinukuliwa laivu kwenye hiyo taarifa ilhali meneja huyo yupo Dodoma na amekuwepo hapo Dodoma kwenye kikao cha Bunge kwa wiki mbili zilizopita.

Baada ya kuwasiliana na meneja wake huyo, ndipo ikabainika kuwa hiyo video ya kauli ya meneja ni ya miezi mitano iliyopita, TBC wame-cut na kupaste ili kutengeneza habari.

Waziri akamalizia kwa kutoa onyo kwa TBC waache ubabaishaji na kuipaka tope serikali.