TBC Imepoteza Sifa ya Kuitwa TV ya Taifa

TBC Imepoteza Sifa ya Kuitwa TV ya Taifa

unajua umenikumbusha kuwa kuna TBC mimi na familia yangu tulishaisahau mambo yote ITV na kidoogo STARTV hasa wakati wa Bunge.
 
unajua umenikumbusha kuwa kuna tbc mimi na familia yangu tulishaisahau mambo yote itv na kidoogo startv hasa wakati wa bunge.

mkuu ni lazima tukisemee chombo hiki maana ukienda dukani kununua kiberiti unakatwa kodi na inapelekwa tbc kwaiyo kususia ni kujisusia mwenyewe, kimsingi, yuwaseme mpaka wabadilike,
 
Wanatumika kisiasa, si unaona hata the comedy show tangu watoke East africa tv wamekuwa watu wa ovyo ovyo kwenye maigizo yao? Huwezi ukakata mti wakati umekalia tawi lake utakuwa jasiri kama Lugola na Shibuda.
 
Ilipoteza sifa hiyo toka ilipoungana na radio tanzania...
 
Mihemko ya kisiasa imewafunika macho. Kwahiyo hamtazami kizalendo tena.
 
mkuu ni lazima tukisemee chombo hiki maana ukienda dukani kununua kiberiti unakatwa kodi na inapelekwa tbc kwaiyo kususia ni kujisusia mwenyewe, kimsingi, yuwaseme mpaka wabadilike,

mkuu hili ni sikio la kufa halisikii dawa.
 
Back
Top Bottom