TBC imemuita nani hamnazo?

Inawezekana lakini kwenye suala la mbigili/mbigiri kuwa fatal, haisadifu uhalisia...
Ndio tunaiziita misemo hiyo ambayo yanawakilisha kitu kingine tofauti
 
Hamnazo ni TBC yenyewe iliyokuwa ikishabikia kutokuvaa barakoa pamoja na baadhi ya watumishi wake kufa kwa corona
 
Ila kifo Ni kibaya mno acha kiogopwe tu kwa kweli! Yaan Leo hii tbc ndio wa kuufanyia hivi bwana yule!
Kweli Shaban kisu kipindi Cha tafakuri umekiweza
Ahh nilikuwa nmemsahau mtangazaji jina lake japokuwa namjua ni yeye, em ngoja ni-update mada ili ajulikane kabisa
 
TBC wenyewe ndiyo hamnazo, ulishaona wapi mtu kafa kwa kuchomwa mbigili tu ?
 
The late Jiwe AKA Hamnazo.
 
Hamnazo ni TBC yenyewe iliyokuwa ikishabikia kutokuvaa barakoa pamoja na baadhi ya watumishi wake kufa kwa corona
Leo hii wanamkana jamaa yao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwendazake
 
Hamnazo ni jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…