assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Kitendo cha kutumia kodi zetu kurusha hotuba za Magufuli kila anapoenda ni kero kubwa.
Magufuli alisema watu wasiangalie TV akaondoa bunge live ,iweje yeye ajipendelee binafsi. kwani TBC ni shirika la ccm au la umma.?
kwanini kodi yetu itumike kwa namna hii.
wananchi tunakerwa Na tabia yenu hembu acheni kiburi, sisi hatuangalii hotuba ,tunafanya kazi.
msipendelee kuitwa TBC ya CCM.