TBC imejivua gamba?

TBC imejivua gamba?

sem2708

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,813
Reaction score
4,962
Wadau ninaangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku,ninaona TBC1 wamecover maandamano ya CHADEMA mkoani shinyanga kwa muda wa kutosha na kwa kurudia rudia ile video,Je hii inaashiria TBC1 imejivua .gamba na kuanza kuzitendea haki kodi za watz kinyume na ilivyozoeleka kubania habari kama hzo?
 
Mkuu hongera! Huku niliko mgao umepitiliza umekuwa jigawo. Ila kuhusu TBC kujivua gamba nina shaka inaweza kuwa ni danganya toto. Tafakari utagundua kitu hapo, hawendi bure hao ipo namna si bure.
 
mh....... Mwendabure...zz!!!!!!!
 
Wameona hawana watazamaji ndio wanarudisha imani ili wapate matangazo. Hiyo tv bado ni ya kifisadi hawana lolote
 
wameona kuwa habari ni za chadema tu, na hakuna mtu mwenye interest na newz za TBC tena
 
Wadau ninaangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku,ninaona TBC1 wamecover maandamano ya CHADEMA mkoani shinyanga kwa muda wa kutosha na kwa kurudia rudia ile video,Je hii inaashiria TBC1 imejivua .gamba na kuanza kuzitendea haki kodi za watz kinyume na ilivyozoeleka kubania habari kama hzo?

Mkuu hukuona kwamba leo walikuwa na matatizo ya kurusha matangazo wakati wa taarifa ya habari? Hukuona ambulance iliyokuwa inampleka hospitali mbunge aliyeanguka ilitokea kwenye habari nyingiiine! Hukuona habari za mataifa mbalimbali zikiparaganyika na kusitishwa kisha zikasomwa tena? Huenda wamekosea usiwape big up kwa leo tu.
 
NDIO MKUU NIMEONA HILO BUT I CHOSE TO SAY 'THE CUP IS HALF FULL THAN TO SAY THE CUP IS HALF EMPTY' we are yet to see kama kuna mabadiliko.
 
wadau ninaangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku,ninaona tbc1 wamecover maandamano ya chadema mkoani shinyanga kwa muda wa kutosha na kwa kurudia rudia ile video,je hii inaashiria tbc1 imejivua .gamba na kuanza kuzitendea haki kodi za watz kinyume na ilivyozoeleka kubania habari kama hzo?
kwa sababu kuna mgao wa umeme wachache watatizama /
 
me nimeshutuka pia..ila chadema shinyanga inonekana Viongozi wamejipanga huko..hakukuwa na support ya wabunge au slàa,au ujumbe wa makao makuu! tarumbeta zilikuwa zikirindima,walikuwa na sare za chams etc! viongozi wa mikoamingine waige mazuri ya huko. God bless cdm
 
Bado ni TBccm. Kirefu chake ni Television that Broadcasts Ccm
 
heheh bahati ya mwenzako usilalie mlango wazi. Elimu anayo, exposure ndiyo usiseme, ki-english anaongea sasa asipate kazi kwa mkosi gani? magamba sasa hivi yawatokea kusiko.

Tuombe MUNGU sii magamba, CDM ni wa wote.
 
Back
Top Bottom