TBC imejivua gamba?

TBC imejivua gamba?

tbc wanauma na kupuliza tu japokuwa leo kweli wameipa airtime ya kutosha hasa kwenye kale ka runinga kao kadogo maana walikuwa wanakarudiarudia, hiyo habari ilioneshwa na star tv jana.
 
Back
Top Bottom