TBC hawaishi kuchemka

Kuna tofauti Kubwa Kati ya Afrika kusini(south Africa) na Kusini mwa Afrika(Southern Africa)

Wapo Sahihi

Kwa hiyo Samora Machel alikuwa rais wa kwanza Kusini mwa Afrika?

Ki nchi cha nchumbiji ambacho ni sisi tumekipa uhuru?

hahahaha..... that's the most ridiculous justification.

Ayoub Rioba ameshindwa kazi. Hivi kwa nini pale TBC pagumu sana?
 
Labda wangesema mke wa Rais wa kwanza mweusi au afrika kusini huru, ila sio Rais wa klwanza, Mandela sio Rais wa kwanza wa Afrika Kusini kuna maraisi kibao waliokua wanaongoza Serikali ya kibaguzi ya Afrika Kusini
 
Ukilaza uliopindukia nakunajitu linakurupuka linaona ni sahihi graca kuitwa mke wa rais wakwanza sa mh nchi yang jaman
 
wachunguzwe vyeti hao waandishi. unaweza kuta no mibashite mitupu
 
Sure Mkuu! Watu wengi hawajui kabla ya Winnie! Mandela alikua na mke mwingine!
 
Rais wa kwanza wa kuchaguliwa kidemokrasia nchini Afrika kusini ni Hayati Nelson Mandela.
 

Atakuwa mke wa kaburu John Vorster huyo km sijakosea!
 
Rais wa kwanza wa kuchaguliwa kidemokrasia nchini Afrika kusini ni Hayati Nelson Mandela.


Rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia Marekani ni nani?
 
Masomo ya sayansi mmeyakimbia! Na historia nayo bado inawapiga chenga ya mwili, sasa nyie mnajua nini?
 
Atakuwa mke wa kaburu John Vorster huyo km sijakosea!

Wrong.

Balthazar Johannes Vorster, better known as John Vorster, served as the Prime Minister of South Africa from 1966 to 1978 and as the fourth State President of South Africa from 1978 to 1979

Cheki kidogo walau WIKIPEDIA haraka haraka kabla ya kupost ma vitu ya ajabu ajabu humu jamani...

Ndio maana TBC wana get away with bizarre journalism with audiences like these.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…