TBC hawaishi kuchemka

TBC hawaishi kuchemka

Taso

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2010
Posts
2,517
Reaction score
2,439
TBC wanasoma taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, sasa hivi.

Nimesikia wakimtaja mgeni aliyeko nchini kwa sasa:

MKE WA RAIS WA KWANZA WA AFRIKA KUSINI GRACA MACHEL

Jamani hawa watu wanahitaji msaada wa dharura, hawana ma editors.

Rais wa kwanza wa Afrika Kusini ndio nani?
 
TBC wanasoma taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, sasa hivi.

Nimesikia wakimtaja:

MKE WA RAIS WA KWANZA WA AFRIKA KUSINI GRACA MACHEL

Jamani hawa watu wanahitaji msaada wa dharura, hawana ma editors.

Rais wa kwanza wa Afrika Kusini ndio nani?

Ungerekebisha swali lako binafsi sijaelewa unataka kusema nini
 
Wako makini Ukweli na uhakika hasa Asha Haji ambaye namkubali katika utangazaji.
 
Back
Top Bottom