TBC, hamjapata habari kuwa Mbowe kapata dhamana?

Yaani kupata dhamana TU mnataka tutangazie Africa yote? subirini kwanza ashinde kesi yake ya msingi ikumbukwe mahakama ziko huru so msije kulia Lia Tena hapa.btw kashajifunza nadhani Sasa atakuwa raia mwema Kama wengine akiendelea kutii sheria za nchi yetu ambazo tumewekeana
Ukiona umepata like za MISULI na Magonjwa Mtambuka pekee basi jitafakari kwa ulichoandika!!!!Ungekuwa na ubongo wa kufikiri basi ungeelewa hoja iliyoko mbele!Kwa umburula huu ndio maana mwisho wa siku mnaenda kutamani kama faidi Tiddo anazoingiza azam angekuwa anaingiza TBC!
 
Ninavomjua Ndege john,ni Ndege asiye akili ya kupambanua. Ni Ndege asiye jua kuvua Samaki kama Ndege wengine.
Yeye hula mizoga tu. Siku nchi hii ikichukuliwa na wapinzani mtu kama wewe na hao TBC kiyama kitawakuta.
ila msilalamike

Sent using Jamii Forums mobile app
Tehtehteh siku nchi inachukuliwa na wapinzani Mimi na kizazi changu tutakuwa hatupo..Miaka 1000 ijayo
 
Kwangu ni marufuku kuangalia hili dubwana hata kama nitakuwa sipo home. Ingekuwa kama app kwenye simu ningedelete kitambo.
 
Mie ikifika saa 1 niaweka citizen..saa 3 naweka tena citizen..bora kuhama nchi..tena citizen kutam kweli week hii
cc; Harrison Mwakyembe, hapo ndio mmetufikisha Watanzania?
Sitaki kum copy naibu wako Juliana Shonza maana huyo ndio wa hovyo kabisa.
Hii ndio maana halisi ya watu kuipenda Nchi yao lakini hawaipendi serikali yao ya ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kupata dhamana TU mnataka tutangazie Africa yote? subirini kwanza ashinde kesi yake ya msingi ikumbukwe mahakama ziko huru so msije kulia Lia Tena hapa.btw kashajifunza nadhani Sasa atakuwa raia mwema Kama wengine akiendelea kutii sheria za nchi yetu ambazo tumewekeana
Kwa hiyo Yohana kwenda kupakwa majivu ni habari?
 
TBC1 mnatia aibu sana. Hii si sawa kabisa. Kama ni maagizo "kutoka juu" basi tujue tunapotoka katika dhana ya utawala bora katika tasnia ya habari. Inasikitisha sana maana tunajenga uhasama katika jamii. Laiti mngeingia ndani ya moyo na fikra zangu ninavyotamani umoja, mshikamano na Utaifa wetu msingefanya hivi.

Hivi kweli Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe na Mbunge wake Esther Matiko wamekaa ndani takriban miezi mitati Leo wameachiwa huru kweli hii si habari basi hata ya mwisho? Kwamba Mbowe na Matiko si habari ya kuwaambia Watanzania? Kweli?

Hivi tunajua TBC ni chombo cha umma! Tunajua hata wale wafuasi wa CHADEMA nao wanalipa kodi inayoendesha TBC? Kweli? Mkurugenzi Dk. Ayubu Ryoba kweli habari zote Tanzania hii kwenu si habari?
Bado mnang'ang'ana na TBC, wakati habar imechafukwa mitandaoni. Ingia You tube acha na ujinga TBC
 
TBC1 mnatia aibu sana. Hii si sawa kabisa. Kama ni maagizo "kutoka juu" basi tujue tunapotoka katika dhana ya utawala bora katika tasnia ya habari. Inasikitisha sana maana tunajenga uhasama katika jamii. Laiti mngeingia ndani ya moyo na fikra zangu ninavyotamani umoja, mshikamano na Utaifa wetu msingefanya hivi.

Hivi kweli Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe na Mbunge wake Esther Matiko wamekaa ndani takriban miezi mitati Leo wameachiwa huru kweli hii si habari basi hata ya mwisho? Kwamba Mbowe na Matiko si habari ya kuwaambia Watanzania? Kweli?

Hivi tunajua TBC ni chombo cha umma! Tunajua hata wale wafuasi wa CHADEMA nao wanalipa kodi inayoendesha TBC? Kweli? Mkurugenzi Dk. Ayubu Ryoba kweli habari zote Tanzania hii kwenu si habari?
Habari za nini? Kwani wana umuhimu gani? Mambo mengine hayahitaji kutamkwa. Sikia/ona elewa. Watanzania sio wajinga.
 
Back
Top Bottom