i wish ingekuwa hacked na channel inayoonyrsha mambo ya kikubwa, ili watoto nao wafaidi kuona wanachofanyaga wakubwa wao
Heri shari kuliko nusu shari! Hiki ni chombo cha umma na kinaendeshwa kwa kodi yangu na yako!
Katikati ya majonzi mazito ya ajali ya meli huko zanzibar watanzania tunategemea cnn kupata habari za ndani ya nchi yetu, huku tbc wakiweka taarabu na picha za kibongo?
Sasa naingia chimbo kuhakikisha navuruga mfumo wao wote wa urushaji matangazo!
Ewe mdao mzalendo na mwenye uchungu na nchi yetu naomba tusaidiane kukiangusha chombo hiki kilichogeuka kuwa kitengo cha propaganda cha ccm!!
Mmmh!! Uhuru wa kuongea na kutoa maoni.I wish ingekuwa hacked na channel inayoonyrsha mambo ya kikubwa, ili watoto nao wafaidi kuona wanachofanyaga wakubwa wao
I wish ingekuwa hacked na channel inayoonyrsha mambo ya kikubwa, ili watoto nao wafaidi kuona wanachofanyaga wakubwa wao
kwani ni dhambi kwa TBC1 kurusha vipindi vya station nyingine kwa kibali maalum??
mkuu umewaza nini mpaka ukasema hivyo!?
Jamani hii station ya TBC ONE imeingiliwa au vipi?Wakati ninaangalia documentary ya wanyama Serengeti Lion Project nimeshangaa kuona station hii ya Taifa ikionyesha station ya FOOD 185 dstv yaani hapo nimeshindwa kuelewa wakuu inakuwaje TBC ONE.??