TBC Breaking News!!!

Kwa maneno mengine si ruhusa kwa Watanzania kuyasikia live yaliyomo kwenye bajeti ya Nishati na Madini na yale yatakayojiri baada ya hotuba hiyo.

Kigumu chama cha ..........
 
Is this not violation of the Tanzania constitution on freedom of expression?

Freedom of expression Act No.1 of 2005 Art.6:

18. Every person -
(a) has a freedom of opinion and expression of his ideas;
(b) has out right to seek, receive and, or disseminate information regardless of national boundaries;
(c) has the freedom to communicate and a freedom with protection from interference from his communication;
(d) has a right to be informed at all times of various important events of life and activities of the people and also of issues of importance to the society.
 
TBC huo sasa ni utoto naona mshaona watanzania wote ni Mbulula!
Kumbukeni KODI yangu ndo inawafanya muende HEWANI!
Mnatunyima habari kisa hamtaki tusikie yatakayojiri uko mjengoni ni kutunyima haki ya habari!
 
Warushe wasirushe habari lazima tutazipata tu.Ccm iagize china sanduku la kubebea mizigo yake coz safari imekaribia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…