Tbc 1, wanachefua

Mimi naamini TBC ni chombo cha habari chenye wafanyakazi wenye weledi katika kazi zao. Matarajio yangu ni kuwa watawatumikia watanzania kwa uadilifu na kutekeleza kaulimbiu yao ya 'Ukweli na Uwazi'. Sasa wanapokuwa wanatumikia maslahi ya serikali pekee ni usaliti kwa watanzania. Please Tido understand this...
 
Nakumbuka siku moja nilisoma kama sio humu humu basi ni gazetini kuwa akili za watangazaji wa TBC ni kama za vijana wapoingia JKT Enzi za Mwalimu ilikuwa unapofika Geti kuu(main Gate)unaambiwa akili zako,digirii zako, shahada zakovyeti vyako ,vyeo vyako vyeo vya baba yako,acheni vyote hapo quarter Guard,hapa utatumia akili za kikosini na kuongozwa na MP.hivyo kila unachofanya ilihali unajua unakosea lakini utafanya bila kuuliza kwani sio akili yako Ukoambiwa DOWN unakwenda JUU na UKIAMBIWA UP unakwenda chini na hii ndio TBC.
 
Hapa nadhani kuna ukweli fulani, maana ni siku nyingi sasa sijasikia magazeti haya yakisomwa kwenye vituo vya TV.
 
Hii tv nilipoenda home niliacha nimeiblock na kuiweka kwenye ignore list so kama vipi ipigeni chini!
 
Hili ndiyo tatizo linaloikabili nchi hii....Kama tungekuwa na utaratibu wa kuacha siasa ifanywe na wanasiasa hata ndugu yangu asingekuja na hii thread yake....Sio kwamba hao waandishi wa Habari sio Binaadamu na hawana needs na matamanio kama watu wengine la hasha...Ila wao wameshamuona Mwenzao Juma Nkamia akilamba salary ya Mamilioni Plus VX jipya wakati walikua wanapishana kwenye same corridor....so na wao wana hope kuwa ipo siku wataukwaa uheshimiwa...nani atawapitisha kwenye vikao vya juu vya chama wakati kwa kipindi chao cha kazi walitumia proffesional yao kuiponda Serikali ya CHAMA?????????? Hawajajiua wao ni kina nani na wanatakiwa kufanya nini......Nidhamu ya woga ndo imewatawala.......mxxxzzzyyyxzzzzzz............
 
Naunga mkono kuwa ni badhi ya watangazaji hapo TBC1 wanaotaka kujipendekeza wapewe madaraka, wanatawaliwa na uoga na unafiki mkuu. Unapotizama taarifa ya habari, utajiuliza kwanini kila ujumbe unaotumwa unakubaliana na kile kilichotangazwa, yaani hakuna hata mtizamaji m1 anayeamini katika upande mwingine!!!
Nilimwona mama Gema Akilimali alivyompa wakati mgumu Grace.

Msomaji wa magazeti leo Joe ni chizi, mbona wanaposoma kinadada huwa hawaumi maneno, wanasoma kila kilichoandikwa
 
Tido anatia huruma kwani alivyokuwa BBC hakuwa hivyo. Njaa kali na uzee unaingia kwa hiyo anawasomesha vijana wake wafanye analotaka yeye asikumbuke kuwa hicho ni chombo cha umma kinachochangiwa na watanzania wote bila kujali itikadi. inasikitisha sana watangazaji wanavyovanya sivyo
 

Kwa nini na wewe unaangalia? jamani tuungane wote tuache kuangalia hiyo TV yao! Peoples Power itakuwa imetekelezwa kwa vitendo siyo maneno tu!!
 
BBC inaendeshwa kwa fedha za waingereza kupitia serikali inayoongozwa na waziri mkuu anayekuwa madarakani. Pamoja na hiyo, serikali inapochemsha BBC hawana simile wanaiblast tu bila ajizi ilimradi suala lenyewe lina maslahi kwa wananchi. Sasa sisi waafrika sijui tumelogwa!!! Mzee Tido nilimpenda sana akiwa BBC Swahili Service lakini amerudi Bongo na kula ugali kwa mlenda wa bamia ikawa basi tena, amebadilika utafikiri siyo yeye.
 
Wasome wasilisome ila wajue mtaani watakutana nalo tu
 
Nilishawahi kusema kwamba watangazaji wote wa TBC1 ni makada wa ccm therefore sioni la ajabu,kuna yu
le msoma magazeti wao anaitwa JOE KIHAMPA,kwanza ana nywele hadi kwenye ulimi mpumbavu sana yule.
Huwezi ukakuta anasoma mwanachi ,tanzania daima au mwanahalisi,lakini uhuru atalisoma hadi picha na m
atangazo yake,mbwa mkubwa wee kihampa,kama vile unaliwa uroda na makamba!
 
Kwa maoni yangu, baadhi ya watangazaji wana-jionesha kwa JK kwamba wao wanamzimika sana, mfano mtu kama Marini anajua kabisa hatasoma mwananchi paper kwanini ameiweka kwenye list yake? ni simple ni ili aivushe na jamii i-rise midahalo kama hii then yeye a-win huruma ya JK kwamba watu wanamshambulia kwa ajili ya 'upendo wake kwake'. Its just tricky mwisho wa siku Marin is winner kama atapata ulaji at our expense.
 
kha! ni leo tu tulikuwa tanalijadili hilo asubuhi na mama kanyaii!! lile jamaa halafu lina sauti mbaya utadhani limemeza ugali wa moto wa mhogo!! yaani kwanza hata masikioni kwangu ni mgeni, sijui ametokea wapi. nadhani amekuja kwa kazi maalumu...maana huwa anasoma magazeti tu halafu yule dogo mngine anaendelea...hana kazi nyengine pale tbc.....imekula kwao lakini!
 
Taratibu ndugu! Huogopi :ban:
 
Mi nafikiri ni ujinga tu wa hivi vitangazaji!Kwani ukisoma gazeti maana yake umeandika wewe hiyo habari?Ukiacha kusoma mtaani halitakwenda?Mtawala anayempa nafasi mtu huyu mjinga kwa sababu hii ya kijinga basi naye ni mjinga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…