tatizo lililopo ni kuwa Tbc hawajui kuwa wao ni chombo cha jamii na wala sio cha watu wachache ama chama,nadhani umefika wakati sasa TBC kujitambulisha kuwa ni chombo cha chama furani ili tuweze kujuwa,kwani nakumbuka walikataa kurusha liletangazo la kwanini wtz tu masikini,eti halikukidhi viwango,na tunajuwa walilikataa kwa sababu ya swali lilikuwa linaigusa serikali na chama cha ccm kwa ujumla
ok tbc nanyi tumewachoka ngoja tubadilishe katiba kwanza,itatusaidia kuweka mambo mengi vizuri
mapinduziiiiii daimaaaaaa