johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,965
- 141,968
Karibu ufuatilie mahojiano haya ambayo moja ya miradi inayozungumziwa ni ule wa Hostel za UDSM zilizoleta kizungumkuti jijini Dsm!
Wamekuja kwa hati ya dharura
Ila wanaonekana wamepanic sana!Jamaa wanasema ile mipasuko sio nyufa,,,,waliacha hayo maeneo makusudi kwa ajili ya majengo kupumua
Wanasema ufa ni mdogo sana ila watu wanatia chumvi!Watoe mchoro tuone hapo pakupumulia!
Wamejenga jengo na kulitengenezea "kijambio"?Ila wanaonekana wamepanic sana!
Wameuonyesha ulivyo mdogo?Wanasema ufa ni mdogo sana ila watu wanatia chumvi!
Serious wamesema hayo maneno hapo juu?waliacha hayo maeneo makusudi kwa ajili ya majengo kupumua
Anaongea upuuzi huyu mtu yaaaan nmepasua remoteee aaaaah huyu kiumbe huyu eti Photoshop ngoja kesho narusha za mwanza eti Photoshop mjnga huyu
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Hawa jamaa sijui watatuapa utmbo gani leo!
Naomba tujadili...
Yaani full burudani!Serious wamesema hayo maneno hapo juu?