TBA wako mubashara TBC muda huu wakielezea utekelezaji wa miradi

Jamaa wanasema ile mipasuko sio nyufa,,,,waliacha hayo maeneo makusudi kwa ajili ya majengo kupumua
Kumbe hata yale magorofa pacha ya bandarini nayo yalipumua sasa cjui haya yatapumua kwa muda gani?Tanzania tushafanywa sote wajinga toka trioni 400 mpk bil 700 hahaaaaa my foot
 
Aisee huyu mwakalinga ana matatizo eti zile picha ni Photoshop eti ni kawaida tuuu aisee huu ni ujinga na upuuzi kiki zingine hapana nooo kwa nini hii serikal inajiona kila kitu IPO sahh mm sio chadema wala ccm Mimi ni mzalendo vitu vingine ni ujinga na kuweka mioto katika mioyo ya watu kuna siku watasema noo . JPM look at yourself muda bado upo unaweza rekebisha matatizo unayoyaleta problems are there Mr but kubali kukosolewa ...... Over
We Kubali Tu Ni Mana Harakati
 
Nawashauri wale vijana wanaokaa yale majengo wasinunue subwoofer wataangusha majengo
 
Back
Top Bottom