Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,526
- 30,722
Kwapa wakala biashara ngumu ya ukandarasi is trying to re-invent the wheel!Pamoja na kupingwa sana uamuzi wa Serikali kuwapa kazi zote za serikali TBA, sasa madudu ya kutisha yanajitokeza.
Tukumbuke kuwa TBA Tanzania Buildings Agency, ni wakala wa nyumba za serikali.
Uanzishwaji wake huko nyuma ilikuwa ku manage matumizi ya nyumba za serikali chini ya Wizara ya Ujenzi.
Sitaongelea sakata la uuzwaji wa nyumba za serikali maana hilo ni dudu tosha.
Baada ya nyumba nyingi kuuzwa TBA sasa wakapewa jukumu la kujenga nyingine kwa watumishi na ofisi za serikali..
Leo , TBA wamegeuka kuwa kandarasi, na kupewa kazi nchi nzima.
Ukandarasi ni biashara nyeti ya kitaalam, na msukumo wa wanaoifanya biashara hiyo ni faida na ukamilishaji kazi vizuri na kujenga jina, ili siku nyingine wapewe kazi .
Siyo siri TBA hawana management capacity ya kuendesha miradi mingi, mikubwa tena kwa mpigo.
-Sasa tumemsikia waziri Ndalichako akiwalalamikia TBA, mradi wa bilioni13 Mlonganzila, Chuo Kikuu Muhimbili,
-Waziri Mkuu alilalamikia mradi wa bilioni 3, Ofisi za Halmasphauri Butiama, kiSi cha kufikia TAKUKURU wamshughulikie meneja wa TBA.
-Chuo Kikuu cha DSM, na "expansion joints" zake sinahaja ya kurudia hayo madudu.
-Mradi wa bilioni 10 nyumba za Magereza Ukonga unasuasua.
Mifano ni mingi sana.
Unapomgeuza wakala TBA kuwa mkandarasi, hivi tulitegemea nini?
Makandarasi wa serikali kama MECCO na SUMA JKT, wameshindwa kwa vile uanzishwaji wao hauko kibiashara.
Tunakumbuka machinjio ya Ruvu na mradi wa barabara Msata Bagamoyo(TAKOPA) vilivyoishia hewani.
MECCO ndio ilikufa na kuuzwa kabisa.
Serikali ya Rais Magufuli iutazame upya uamuzi wa kuifanya wakala TBA kuwa mkandarasi, anasivyo hasara juu ya hasara hazikwepeki.
Na kuwaweka ndani watumishi wa TBA si suluhisho la nyumba kujengwa kwa weledi. Viongozi wetu hapa sana sana wanaficha aibu zao kwa kuwa walifanya maamuzi yasiyo na tija katika sekta ya ujenzi, kwa kugeuza wakala TBA kuwa mkandarasi.
Sina hakika kama shirika la nyumba walikuwa wanajenga wenyewe niliwahi kutembelea ujenzi wa nyumba za kigamboni enzi hizo,kuna jamaa walikuwa wamepewa tenda,NHC yeye ni kama msimamizi tuuKwapa wakala biashara ngumu ya ukandarasi is trying to re-invent the wheel!
Kweli MECCO walishindwa na kuuzwa, kuna mashirika vile vile ya kiserikali katika sekta ya ujenzi kama NEDCO hata NHC , yote tumena performance zao zikiishia.
Tujifunze!
Nimekuelewa.asanteHata mimi siungi Mkono Serikali kujiendesha kijamaa kwa kujipa kandarasi za Ujenzi lakin kuwalaumu moja kwa moja kwa ucheleweshaji wa ujenzi sio sahihi kwa kuwa nimesoma hoja za Mtendaji Mkuu wa TBA kwenye Mwananchi ya leo nimemuelewa.
kwenye ujenzi wa chini ya kiwango kama Hostel za UDSM kwa kweli sina cha kuwatetea ni kweli walivurunda lakin wanasiasa kuficha madhaifu yao kwa kuwalaumu TBA kwa ucheleweshaji ni kujikosha kisiasa.
Mtendaji Mkuu yule anamshangaa Waziri Mkuu kwa kuamuru kukamatwa kwa Meneja wa TBA kule Mara kwa ucheleweshaji wa Mradi, anasema kwenye Mkataba walioingia kuna kipengele kinazungumzia nini cha kufanya ikiwa huridhishwi na mwenza wako wa mradi, na kipengele hicho hakijasema Msimamizi wa Mradi akamatwe na TAKUKURU, anasema mradi wa 3 Billion zimepelekwa 600 Million pekee na wamekamilisha kazi ya 400 million kweli hapo kuna ucheleweshaji?
akizungumzia ucheleweshaji wa ukarabati wa shule kongwe anasema kazi ya kutathmini gharama za Ujenzi walipewa Ardhi University ambao estimate zao zilikuwa unrealistic hivyo ikabidi zirudiwe na wakamjulisha kwa Maandishi Client wao ( Wizara ya elimu) kuhusu jambo hilo na wakakubaliana kwa maandishi extention ya muda wa mradi lakin ghafla Prof Ndalichako anakwenda kuwaropokea wamechelewa
akizungumzia ya Mloganzila anasema waliambiwa wajenge hostel ya ku accomodate wanafunzi elf 10 na walipoanza ujenzi wakaletewa marekebisho iwe wanafunzi elf 1 pekee hivyo ukawabidi waanze upya lakin yote hayo ni ndani ya miezi mitatu ya awali kati ya Miezi 15 ya mradi lakin wanasiasa bado wanwalaumu, so Wanasiasa waache kuwabebesha lawama TBA kwa maamuzi yao mabovu
Bila kumung'unya maneno, kumpeleka TAKUKURU mtendaji au mjenzi ambaye kazi yake wal haijakamilika ni matumizi mabaya ya madaraka.Hata mimi siungi Mkono Serikali kujiendesha kijamaa kwa kujipa kandarasi za Ujenzi lakin kuwalaumu moja kwa moja kwa ucheleweshaji wa ujenzi sio sahihi kwa kuwa nimesoma hoja za Mtendaji Mkuu wa TBA kwenye Mwananchi ya leo nimemuelewa.
kwenye ujenzi wa chini ya kiwango kama Hostel za UDSM kwa kweli sina cha kuwatetea ni kweli walivurunda lakin wanasiasa kuficha madhaifu yao kwa kuwalaumu TBA kwa ucheleweshaji ni kujikosha kisiasa.
Mtendaji Mkuu yule anamshangaa Waziri Mkuu kwa kuamuru kukamatwa kwa Meneja wa TBA kule Mara kwa ucheleweshaji wa Mradi, anasema kwenye Mkataba walioingia kuna kipengele kinazungumzia nini cha kufanya ikiwa huridhishwi na mwenza wako wa mradi, na kipengele hicho hakijasema Msimamizi wa Mradi akamatwe na TAKUKURU, anasema mradi wa 3 Billion zimepelekwa 600 Million pekee na wamekamilisha kazi ya 400 million kweli hapo kuna ucheleweshaji?
akizungumzia ucheleweshaji wa ukarabati wa shule kongwe anasema kazi ya kutathmini gharama za Ujenzi walipewa Ardhi University ambao estimate zao zilikuwa unrealistic hivyo ikabidi zirudiwe na wakamjulisha kwa Maandishi Client wao ( Wizara ya elimu) kuhusu jambo hilo na wakakubaliana kwa maandishi extention ya muda wa mradi lakin ghafla Prof Ndalichako anakwenda kuwaropokea wamechelewa
akizungumzia ya Mloganzila anasema waliambiwa wajenge hostel ya ku accomodate wanafunzi elf 10 na walipoanza ujenzi wakaletewa marekebisho iwe wanafunzi elf 1 pekee hivyo ukawabidi waanze upya lakin yote hayo ni ndani ya miezi mitatu ya awali kati ya Miezi 15 ya mradi lakin wanasiasa bado wanwalaumu, so Wanasiasa waache kuwabebesha lawama TBA kwa maamuzi yao mabovu
Hata mimi siungi Mkono Serikali kujiendesha kijamaa kwa kujipa kandarasi za Ujenzi lakin kuwalaumu moja kwa moja kwa ucheleweshaji wa ujenzi sio sahihi kwa kuwa nimesoma hoja za Mtendaji Mkuu wa TBA kwenye Mwananchi ya leo nimemuelewa.
kwenye ujenzi wa chini ya kiwango kama Hostel za UDSM kwa kweli sina cha kuwatetea ni kweli walivurunda lakin wanasiasa kuficha madhaifu yao kwa kuwalaumu TBA kwa ucheleweshaji ni kujikosha kisiasa.
Mtendaji Mkuu yule anamshangaa Waziri Mkuu kwa kuamuru kukamatwa kwa Meneja wa TBA kule Mara kwa ucheleweshaji wa Mradi, anasema kwenye Mkataba walioingia kuna kipengele kinazungumzia nini cha kufanya ikiwa huridhishwi na mwenza wako wa mradi, na kipengele hicho hakijasema Msimamizi wa Mradi akamatwe na TAKUKURU, anasema mradi wa 3 Billion zimepelekwa 600 Million pekee na wamekamilisha kazi ya 400 million kweli hapo kuna ucheleweshaji?
akizungumzia ucheleweshaji wa ukarabati wa shule kongwe anasema kazi ya kutathmini gharama za Ujenzi walipewa Ardhi University ambao estimate zao zilikuwa unrealistic hivyo ikabidi zirudiwe na wakamjulisha kwa Maandishi Client wao ( Wizara ya elimu) kuhusu jambo hilo na wakakubaliana kwa maandishi extention ya muda wa mradi lakin ghafla Prof Ndalichako anakwenda kuwaropokea wamechelewa
akizungumzia ya Mloganzila anasema waliambiwa wajenge hostel ya ku accomodate wanafunzi elf 10 na walipoanza ujenzi wakaletewa marekebisho iwe wanafunzi elf 1 pekee hivyo ukawabidi waanze upya lakin yote hayo ni ndani ya miezi mitatu ya awali kati ya Miezi 15 ya mradi lakin wanasiasa bado wanwalaumu, so Wanasiasa waache kuwabebesha lawama TBA kwa maamuzi yao mabovu
Naona huyo Mkurugenzi naye kaamua kujiripua. Hayo alipaswa kwenda kuyaeleza kwa Waziri Mkuu ana kwa ana wala siyo kumweleza kupitia magazeti.Hata mimi siungi Mkono Serikali kujiendesha kijamaa kwa kujipa kandarasi za Ujenzi lakin kuwalaumu moja kwa moja kwa ucheleweshaji wa ujenzi sio sahihi kwa kuwa nimesoma hoja za Mtendaji Mkuu wa TBA kwenye Mwananchi ya leo nimemuelewa.
kwenye ujenzi wa chini ya kiwango kama Hostel za UDSM kwa kweli sina cha kuwatetea ni kweli walivurunda lakin wanasiasa kuficha madhaifu yao kwa kuwalaumu TBA kwa ucheleweshaji ni kujikosha kisiasa.
Mtendaji Mkuu yule anamshangaa Waziri Mkuu kwa kuamuru kukamatwa kwa Meneja wa TBA kule Mara kwa ucheleweshaji wa Mradi, anasema kwenye Mkataba walioingia kuna kipengele kinazungumzia nini cha kufanya ikiwa huridhishwi na mwenza wako wa mradi, na kipengele hicho hakijasema Msimamizi wa Mradi akamatwe na TAKUKURU, anasema mradi wa 3 Billion zimepelekwa 600 Million pekee na wamekamilisha kazi ya 400 million kweli hapo kuna ucheleweshaji?
akizungumzia ucheleweshaji wa ukarabati wa shule kongwe anasema kazi ya kutathmini gharama za Ujenzi walipewa Ardhi University ambao estimate zao zilikuwa unrealistic hivyo ikabidi zirudiwe na wakamjulisha kwa Maandishi Client wao ( Wizara ya elimu) kuhusu jambo hilo na wakakubaliana kwa maandishi extention ya muda wa mradi lakin ghafla Prof Ndalichako anakwenda kuwaropokea wamechelewa
akizungumzia ya Mloganzila anasema waliambiwa wajenge hostel ya ku accomodate wanafunzi elf 10 na walipoanza ujenzi wakaletewa marekebisho iwe wanafunzi elf 1 pekee hivyo ukawabidi waanze upya lakin yote hayo ni ndani ya miezi mitatu ya awali kati ya Miezi 15 ya mradi lakin wanasiasa bado wanwalaumu, so Wanasiasa waache kuwabebesha lawama TBA kwa maamuzi yao mabovu
Tatizo hapa ni viongozi wengi kutaka kuendesha mambo wanavyotaka wao viwe.Naona huyo Mkurugenzi naye kaamua kujiripua? Hayo alipaswa kwenda kuyaeleza kwa Waziri Mkuu ana kwa ana wala siyo kumweleza kupitia magazeti.
Waziri mkuu angeelezwa haya ana kwa ana angepingana na ukweli na kutafuta namna ya kujisafisha mbele ya kadamnasi, bora kaeleza kwa uwazi na uzuri kasema kabisa taarifa walitoa tena kwa maandishi.Naona huyo Mkurugenzi naye kaamua kujiripua. Hayo alipaswa kwenda kuyaeleza kwa Waziri Mkuu ana kwa ana wala siyo kumweleza kupitia magazeti.
Pengine we bado ni kijana mdogo.Sina hakika kama shirika la nyumba walikuwa wanajenga wenyewe niliwahi kutembelea ujenzi wa nyumba za kigamboni enzi hizo,kuna jamaa walikuwa wamepewa tenda,NHC yeye ni kama msimamizi tuu
Ajiandae kupigwa kofi na wajakazi na kuulizwa "unamjibu hivyo waziri mkuu?" Kwa maneno mengine ajiandae kutumbuliwa.Waziri mkuu angeelezwa haya ana kwa ana angepingana na ukweli na kutafuta namna ya kujisafisha mbele ya kadamnasi, bora kaeleza kwa uwazi na uzuri kasema kabisa taarifa walitoa tena kwa maandishi.
Ni vema wanasiasa wakapunguza mihemko na kuacha kutoa maamuzi as if wamekurupushwa. Ethics za uongozi hakuna tena ni maonesho ya kipumbavu, kijuha, kizwazwa na kishenzi ndo yametawala. Tunachotaka kuona ni miradi imesimama mengine yote wasolve ndani ya ofisi sio kwenye vyombo vya habari.
Ni kweli, inawezekana Waziri Mkuu kaingizwa chaka na maneno ya kuambiwa.Waziri mkuu angeelezwa haya ana kwa ana angepingana na ukweli na kutafuta namna ya kujisafisha mbele ya kadamnasi, bora kaeleza kwa uwazi na uzuri kasema kabisa taarifa walitoa tena kwa maandishi.
Ni vema wanasiasa wakapunguza mihemko na kuacha kutoa maamuzi as if wamekurupushwa. Ethics za uongozi hakuna tena ni maonesho ya kipumbavu, kijuha, kizwazwa na kishenzi ndo yametawala. Tunachotaka kuona ni miradi imesimama mengine yote wasolve ndani ya ofisi sio kwenye vyombo vya habari.
Hata kama wewe ni mhandisi nafikiri ukandarasi unausikiaga tu!Pamoja na kwamba walikuwa mawakala na kugeuzwa kuwa wakandarasi, bado sielewi kwanini TBA wanashindwa kupiga kazi! Mtaani kuna ma-engineers na wajenzi lukuki wanatafuta kazi, tatizo letu bado lile lile, kufanya kazi kwa mazoea, kufikiria wizi na ufisadi katika kila tenders...
Ukiweka watu wa uhakika pale, TBA inaweza kufanya kazi hizi zote kwa umahiri, maarifa na utaalamu...
Inaonekana bado ina ile mizuzu inayopenda kukaa ofisi badala field, kunywa chai na mandazi ya mamilioni!
Yaani unapewa tenders lukuki unashindwa hivi hivi kweli?! Nguvu kazi zipo, hela zinatolewa in advance!
Bure kabisa hawa TBA, fukuza safisha, anza na watu wanaojielewa, TBA bado yaweza kupiga kazi zote hizi..