TB Joshua: Picha za makao makuu ya Ibilisi anazitoa wapi?

zabron k

JF-Expert Member
Nov 11, 2015
923
1,058
Naomba kuuliza,

Mara nyingi huyu nabii amekuwa anaposti picha za "makao makuu ya ibilisi" kwa kuwaonesha wachawi wapo kikaoni, majini yakimkaba mtu, wachawi wanaua mtu au ajali mbali mbali za kishirikina.

Swali: Picha hizi mtumishi huyu wa Mungu huzitoa wapi?
 
ImageUploadedByJamiiForums1453627008.435553.jpg
 
Kwani picha za Mitume zilitoka wapi!? Yote hayo ni kwa Msaada wa kumbukumbu zilizohifadhiwa tokea hapo kale.
 
Naomba kuuliza,
Mara nyingi huyu nabii amekuwa anaposti picha za "makao makuu ya ibilisi" kwa kuwaonesha wachawi wapo kikaoni, majini yakimkaba mtu, wachawi wanaua mtu au ajali mbali mbali za kishirikina.

Swali: picha hizi mtumishi huyu wa Mungu huzitoa wapi?

Ahsante sana. Napata sana wasi wasi kuhusu hilo. Maana huwezi kuvutia picha/kufikiria mahali ambapo hujawai fika/viumbe ambao hujawahi kuwaona. Kuna kitu apo sio bure
 
Ahsante sana. Napata sana wasi wasi kuhusu hilo. Maana huwezi kuvutia picha/kufikiria mahali ambapo hujawai fika/viumbe ambao hujawahi kuwaona. Kuna kitu apo sio bure
Ndo maana nikaamua kuuliza, huyu jamaa anapata wapi picha za "vikao" za kambi pinzani?
 
Naomba kuuliza,
Mara nyingi huyu nabii amekuwa anaposti picha za "makao makuu ya ibilisi" kwa kuwaonesha wachawi wapo kikaoni, majini yakimkaba mtu, wachawi wanaua mtu au ajali mbali mbali za kishirikina.

Swali: picha hizi mtumishi huyu wa Mungu huzitoa wapi?
Ila kwa taarifa tu kuna akaunti nyingi feki za TB Joshua kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
 
Mimi ni neno bila mimi akikikufanyika kitu................................................upande wa kuweni makini sana maana zaja siku Ambapo kila mtu atasema mimi ndiye
 
Naomba kuuliza,
Mara nyingi huyu nabii amekuwa anaposti picha za "makao makuu ya ibilisi" kwa kuwaonesha wachawi wapo kikaoni, majini yakimkaba mtu, wachawi wanaua mtu au ajali mbali mbali za kishirikina.

Swali: picha hizi mtumishi huyu wa Mungu huzitoa wapi?
Mimi naomba nikuombe uthibitishe kwa kutuma hizo picha na kutuambia hiyo account ulipozipata! binafsi sikulaumu na hii ni kwasababu tunatofautiana uelewa sana juu ya mambo ya imani, nikuombe kabla hujaanza kumhukumu mtu kwa namna yoyote ujaribu kufanya uchunguzi wa kina juu ya mtu tajwa, maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, Binafsi namshukuru Mungu sana kwa kumjua mtu huyu na ninamwomba Mungu amzidishie umri wa kuishi ili watu tukajifunze nguvu za Mungu zinavyotenda kazi kwa kupitia mtu huyu.

Imani ya mtu huyu ni kubwa sana na anajitahidi sana kuyaishi maisha ya kiroho kitu ambacho wengi tunaomba tufikie uwezo huo. jamani watu wengi wamefungua account fake na kuziita TB Joshua na wamewahadaa watu wengi. Mimi nimefika mahali alipo na nimekaa hapo sijayaona hayo mapicha kokote katika himaya yake. Mungu endelea kumjaza nguvu za kiroho mtumishi huyu ili wengi tukakombolewa. Amina
 
biashara matangazo....matangazo lazima yavutie mkuu...huo ndio mvuto wa kuwapiga waginga waginga
 
Back
Top Bottom