TB Joshua ampaisha tena Rais Magufuli

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
2,674
2,801
Wakuu,
TB joshua amepost tena kwenye wall yake ya Facebook na kuweka ujumbe na picha ya Magufuli.

"A leader should rule in righteousness and in the fear of God so that he can be like a torch-light for everybody, a shining example." - T.B. Joshua

"When one rules over people in righteousness,
when he rules in the fear of God,
he is like the light of morning at sunrise
on a cloudless morning,
like the brightness after rain
that brings grass from the earth."
(2 Samuel 23:3-4)

Prophet T.B. Joshua with Tanzanian President. Dr. John Magufuli

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1085366078250834&substory_index=0&id=103470916440360


184f58d2901efddfbe687ea0395bbe0f.jpg
http://
 
kwa sababu ya kinachoendelea Zbar, alimuona kwenye kuapishwa Shein. Ila niliumia sana kutomuona Rais kipenzi changu Piere Nkurunzinza maana pale ndio palikuwa mahala pake!
 
HAYO MAMBO YENU YA UDINI PELEKENI KANISANI HUYO TB JOSHUA NI TAPELI MKUBWA AMEMTAPELI LOWASA AMEONA KASHINDWA ANAJIPENDEKEZA KWA MAGUFULI
 
Back
Top Bottom