Tb Joshua alivyonipa utajiri

"Ndani ya miezi 3, nimejenga nyumba 2, nimenunua coaster 3, fusso 2 na niko mbioni kufungua restaurant nyingine 2" umeona amefanya mangapi ndani ya miezi 3 kwa mil 180 ....ngoma yataka matao jamani ....
 

Pokea LIKE mkuu ukiona kanisa linahubiri utajri na miujiza ya uponyaji jua YESU wa kweli hayupo
 

Huyu jamaa amesema, hivi sasa yupo mbioni kufungua restraunt zngine 2, kwahyo vyote alivfanya kwa ku2mia mgahawa mmoja ule ule. Pia alidai kipato chake kilpanda toka lak 2 hadi 2 milioni (ambayo ndo maxmum amount mana hajasema kama kiliongezeka zaidi).
 

Wewe sasa unataka kuharibu thread
 
duh..!!viti vya mgahawa mpaka chooni na bafuni..?!!.
 
Ngoja T.B joshou afe utarudi kama zaman na hali yako ya kawaida
 
milion 2 ndani ya miezi 3 ni milioni 180 (2 mara 90 = 180)! Inawezekana vipi kwa milion 180 uweze kununua fuso 2, coasta 3 pia ujenge nyumba 2, restraurant 3? Innocent chacha hebu fafanua vizuri.

Labda nyumba ya maboks na magari ya mabox niliona lusekelo nae anawaombea watu wanapata magarii aiseeeee
 
Last edited by a moderator:
Mungu kakupa utajiri au TB JOSHUA? Mwanadamu akikupa utajiri lazima uulipie
 
du, wacha niendelee kumuamini Mungu wa ibarahimu, isiaka,na yakobo, maana aya yote yalitabiliwa kabla. Amein. uwa nikionaga na wa hapa bongo wakiwapokelesha kitu watu, ila hakuna kikubwa zaidi ya imani, na imani bila matendo ni bure. endelea kuamini hiko unachoamini.
 
Alifufuka mkuu ndio maana tunaamini la sivyo ukristo usingekuwepo, na kuhusu kufa msalabani ilikuwa lazima afe ili alipe deni la dhambi zetu ndio maana hakujiokoa. Ila kuna wajanja wachache wanatumia vibaya neema
tuliyopewa bure.

hongera mkuu Gamaha! Kwa jibu zuri na la kistaarabu kwa huyu mpuuzi anaejiitaa mashaxizo, maana amenitia hasira na nikawa najiandaa nimlipuwe. Anyway nishamsamehe kwa ujinga wake!!
 
Tb Joshua si atumie hayo maji awarudishe wale waliotekwa na boko haram?
 
milion 2 ndani ya miezi 3 ni milioni 180 (2 mara 90 = 180)! Inawezekana vipi kwa milion 180 uweze kununua fuso 2, coasta 3 pia ujenge nyumba 2, restraurant 3? Innocent chacha hebu fafanua vizuri.

hata mi baso najiuliza maswali mkuu hapo naangalia sana TB Joshua na pia naamini uponyaji wake.
_mleta mada katia chumvi hadi mboga imekuwa chungu
 
Last edited by a moderator:
.
.
.
Huwezi kuamini, mauzo yalibadilika kutoka shs laki 2 kwa siku hadi milioni 2.

Ndani ya miezi 3, nimejenga nyumba 2, nimenunua coaster 3, fusso 2 na niko mbioni kufungua restaurant nyingine 2.

ASANTE YESU. ASANTE TB JOSHUA

mauzo mil 2, mtaji matumizi mengine ~ 1m = faida ~1m/day x miezi 3(siku90) = faida kwa miezi 3, 90m.

Fusso >40m x 2 = >80m
coaster >30m x 3 >90m
nyumba> 25m x 2 = >50m.
Jumla >220m.
Jumla kuu (>130m)

Mkuu unadaiwa si chini ya 130m
 
Hayo maji yanatofauti gani na zile dawa tunazopewa na waganga tuweke kwenye biashara...

Huo ni ushetani tu..
 

Biashara ni matangazo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…