Tazara Flyover na Ubungo Road Interchange

Hello wajumbe

Baada ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri leo akigusia juu ya ujenzi wa Road interchange ya ubungo wakati wa uzinduzi wa ndege mpya za Bombardier Q400, nilihamasika sana kujua plan ya Ubungo interchange iko vipi kutokana na usugu wa foleni pale. Katika kupekua pekua mitandaoni humu nikakutana na na hizi plan za Ubungo interchange pamoja na Tazara Flyover.

View attachment 408643
Wakati wewe unapanga kujenga Fry over tena moja majirani zetu hapo Kenya walishamaliza hii kazi tena sio moja tu fry over zaidi ya kumi
Jionee hapa ........
1475140025631.jpg
1475140031547.jpg
1475140045547.png
1475140066061.jpg
1475140081538.jpg
1475140108738.jpg
1475140121488.jpg
1475140139287.jpg
 
Hivi ni utimamu kuwaza project kama hizi kwa ajili ya Dar peke yake wakati kuna miji mingine kama vile Mwanza, Dofoma, Arusha, Mbeya, n.k...

Hivi huu nao si ufinyu wa mawazo au Dar ndo kila kitu ilhali tunawaza kuhamia Dodoma...??

Wakati umefika tujifunze kuwaza maendeleo zaidi nje ya Dar.. Hata huko nako kuna watanzania walioa kodi...!!
So ulitaka ianzie Simiyu!?![emoji35] [emoji35]
 
Hello wajumbe

Baada ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri leo akigusia juu ya ujenzi wa Road interchange ya ubungo wakati wa uzinduzi wa ndege mpya za Bombardier Q400, nilihamasika sana kujua plan ya Ubungo interchange iko vipi kutokana na usugu wa foleni pale. Katika kupekua pekua mitandaoni humu nikakutana na na hizi plan za Ubungo interchange pamoja na Tazara Flyover.

View attachment 408643
1475140475797.jpg
 
Kuna majiji mengine yametengwa yapo kama mayatima yanajengwa kwa nguvu za wananchi, kila kitu kinaanzia na kumalizikia dar.
 
Hivi ni utimamu kuwaza project kama hizi kwa ajili ya Dar peke yake wakati kuna miji mingine kama vile Mwanza, Dofoma, Arusha, Mbeya, n.k...

Hivi huu nao si ufinyu wa mawazo au Dar ndo kila kitu ilhali tunawaza kuhamia Dodoma...??

Wakati umefika tujifunze kuwaza maendeleo zaidi nje ya Dar.. Hata huko nako kuna watanzania walioa kodi...!!
Hamia Dar kama unataka kuonja vituz. Dar ndo sura ya TZ na siyo huko uliko. Kila kitu laizma kianzie Dar. Endelea na kasi hiyo JPM.
 
Wakati wewe unapanga kujenga Fry over tena moja majirani zetu hapo Kenya walishamaliza hii kazi tena sio moja tu fry over zaidi ya kumi
Jionee hapa ........View attachment 408973View attachment 408974View attachment 408975View attachment 408976View attachment 408977View attachment 408978View attachment 408979View attachment 408980
we technically si ni mwanaccm wewe? mbona unakuja na lugha za kulalama?

angalia rais wako jana kasema watalii wanafikia kwenye tunchi twa ajabu halafu wanamalizia tanzania.

kumbe sisi ndio kanchi ka ajabu, waliotufikisha hapa Mungu anawaona
 
Hivi ni utimamu kuwaza project kama hizi kwa ajili ya Dar peke yake wakati kuna miji mingine kama vile Mwanza, Dofoma, Arusha, Mbeya, n.k...

Hivi huu nao si ufinyu wa mawazo au Dar ndo kila kitu ilhali tunawaza kuhamia Dodoma...??

Wakati umefika tujifunze kuwaza maendeleo zaidi nje ya Dar.. Hata huko nako kuna watanzania walioa kodi...!!
Dofoma kwenu?
 
Dar iachwe kama ilivyo, imefika pabaya sana kikubwa sitopenda Dodoma nayo iangukie kwenye plan mbovu za mipango miji ilihali CDA wapo pale. Nadhani kuna kitu watafanya katika kuweka miundombinu ya barabara iwe bab'kubwa just like small cities in europe lakini flyovers bab'kubwa utazikuta, mfano ni mji wa Sevilla nchini Espana
 
we technically si ni mwanaccm wewe? mbona unakuja na lugha za kulalama?

angalia rais wako jana kasema watalii wanafikia kwenye tunchi twa ajabu halafu wanamalizia tanzania.

kumbe sisi ndio kanchi ka ajabu, waliotufikisha hapa Mungu anawaona
Mimi chama changu ni Tanzania ........[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji2] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji2] naipenda sana Tanzania kuliko chochote.....
 
Lakini si ni lazima kuanza?? Au unamaanisha alitakiwa kuanza kila mahali kwa wakati mmoja?? [HASHTAG]#WapingaKilaKitu[/HASHTAG] lakini pia angeanza huko unaposema kwa Utimamu wako lazima ungepinga tena.... [HASHTAG]#FisadiKawaHaribuSana[/HASHTAG]
Safi sana
 
Mimi chama changu ni Tanzania ........[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji2] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji2] naipenda sana Tanzania kuliko chochote.....
hahahaaa
 
Jamani nipo serious , Kwa tu picha twa Tazara maendeleo ya ujenzi atupatie sie wa singida tuone na tujivunie
 
Back
Top Bottom