Tazara Flyover na Ubungo Road Interchange

nuraj

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2011
Posts
309
Reaction score
236
Hello wajumbe

Baada ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri leo akigusia juu ya ujenzi wa Road interchange ya ubungo wakati wa uzinduzi wa ndege mpya za Bombardier Q400, nilihamasika sana kujua plan ya Ubungo interchange iko vipi kutokana na usugu wa foleni pale. Katika kupekua pekua mitandaoni humu nikakutana na na hizi plan za Ubungo interchange pamoja na Tazara Flyover.

ubungo interchange.png
 
Hivi ni utimamu kuwaza project kama hizi kwa ajili ya Dar peke yake wakati kuna miji mingine kama vile Mwanza, Dofoma, Arusha, Mbeya, n.k...

Hivi huu nao si ufinyu wa mawazo au Dar ndo kila kitu ilhali tunawaza kuhamia Dodoma...??

Wakati umefika tujifunze kuwaza maendeleo zaidi nje ya Dar.. Hata huko nako kuna watanzania walioa kodi...!!
 
Lakini si ni lazima kuanza?? Au unamaanisha alitakiwa kuanza kila mahali kwa wakati mmoja?? [HASHTAG]#WapingaKilaKitu[/HASHTAG] lakini pia angeanza huko unaposema kwa Utimamu wako lazima ungepinga tena.... [HASHTAG]#FisadiKawaHaribuSana[/HASHTAG]
 
Vipi ujenzi umefikia wapi? Tangu ianze kutangazwa tunaona michoro tu.
 
Hivi ni utimamu kuwaza project kama hizi kwa ajili ya Dar peke yake wakati kuna miji mingine kama vile Mwanza, Dofoma, Arusha, Mbeya, n.k...

Hivi huu nao si ufinyu wa mawazo au Dar ndo kila kitu ilhali tunawaza kuhamia Dodoma...??

Wee... huyu ndugu hakosei ohoooo...Tanzania ipo Dar tunasubiri atujengee na mirembe day hapa mjini ile ya Dom ibaki boarding
 
Lakini si ni lazima kuanza?? Au unamaanisha alitakiwa kuanza kila mahali kwa wakati mmoja?? [HASHTAG]#WapingaKilaKitu[/HASHTAG] lakini pia angeanza huko unaposema kwa Utimamu wako lazima ungepinga tena.... [HASHTAG]#FisadiKawaHaribuSana[/HASHTAG]

[HASHTAG]#WakubaliKilaKitu[/HASHTAG]... Plan ya kuonesha kuwa tunaanza na Dar baada ya muda fulani tutaendelea majiji mengine iko wapi..?

[HASHTAG]#WakurupukajiTuNyie[/HASHTAG]!!
 
Hivi ni utimamu kuwaza project kama hizi kwa ajili ya Dar peke yake wakati kuna miji mingine kama vile Mwanza, Dofoma, Arusha, Mbeya, n.k...

Hivi huu nao si ufinyu wa mawazo au Dar ndo kila kitu ilhali tunawaza kuhamia Dodoma...??

Wakati umefika tujifunze kuwaza maendeleo zaidi nje ya Dar.. Hata huko nako kuna watanzania walioa kodi...!!
Unaonekana unatatizo linalotakiwa kwenda milembe ndugu
 
Hivi ni utimamu kuwaza project kama hizi kwa ajili ya Dar peke yake wakati kuna miji mingine kama vile Mwanza, Dofoma, Arusha, Mbeya, n.k...

Hivi huu nao si ufinyu wa mawazo au Dar ndo kila kitu ilhali tunawaza kuhamia Dodoma...??

Wakati umefika tujifunze kuwaza maendeleo zaidi nje ya Dar.. Hata huko nako kuna watanzania walioa kodi...!!

Kwa mujibu wa Mpango wa maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2016/17...

Capture3.PNG
 
Hivi ni utimamu kuwaza project kama hizi kwa ajili ya Dar peke yake wakati kuna miji mingine kama vile Mwanza, Dofoma, Arusha, Mbeya, n.k...

Hivi huu nao si ufinyu wa mawazo au Dar ndo kila kitu ilhali tunawaza kuhamia Dodoma...??

Wakati umefika tujifunze kuwaza maendeleo zaidi nje ya Dar.. Hata huko nako kuna watanzania walioa kodi...!!
Lakini si ni lazima kuanza?? Au unamaanisha alitakiwa kuanza kila mahali kwa wakati mmoja?? [HASHTAG]#WapingaKilaKitu[/HASHTAG] lakini pia angeanza huko unaposema kwa Utimamu wako lazima ungepinga tena.... [HASHTAG]#FisadiKawaHaribuSana[/HASHTAG]
Ally usibishane na huyo bweggge. maana mabweggge ndivyo yalivyo. kuna pia mabwegggge mengine kama huyo yanamlaumu Kikwete kujenga barabara nyingi za lami mikoani huku akiacha kuyapa kipaumbele hayo ma-fly over.
 
[HASHTAG]#WakubaliKilaKitu[/HASHTAG]... Plan ya kuonesha kuwa tunaanza na Dar baada ya muda fulani tutaendelea majiji mengine iko wapi..?

[HASHTAG]#WakurupukajiTuNyie[/HASHTAG]!!

Tazama hii
Capture4.PNG
 
Hivi ni utimamu kuwaza project kama hizi kwa ajili ya Dar peke yake wakati kuna miji mingine kama vile Mwanza, Dofoma, Arusha, Mbeya, n.k...

Hivi huu nao si ufinyu wa mawazo au Dar ndo kila kitu ilhali tunawaza kuhamia Dodoma...??

Wakati umefika tujifunze kuwaza maendeleo zaidi nje ya Dar.. Hata huko nako kuna watanzania walioa kodi...!!
Hivi akili zenu zinauwezo hata wa kucontrol mke?? Maana haijulikani mnataka nini mnawasha mto nje hapo hapo mnaomba mvua inyeshe, hameni nchi basi
 
upload_2016-9-28_23-59-36.png
upload_2016-9-29_0-0-51.png

Pale mazingira na eneo linaporuhusu dizaini hii ni nzuri na effective sana...gharama yake ni nafuu pia kwa kulinganisha na dizaini nyingine za Interchange. Kwa barabara za ndani ya jiji la Dar maeneo hayaruhusu, ila tuendako na ujenzi pamoja na upanuzi wa miji mipya ni muhimu tuache hifadhi za kutosha za barabara!!
 
Hivi ni utimamu kuwaza project kama hizi kwa ajili ya Dar peke yake wakati kuna miji mingine kama vile Mwanza, Dofoma, Arusha, Mbeya, n.k...

Hivi huu nao si ufinyu wa mawazo au Dar ndo kila kitu ilhali tunawaza kuhamia Dodoma...??

Wakati umefika tujifunze kuwaza maendeleo zaidi nje ya Dar.. Hata huko nako kuna watanzania walioa kodi...!!
Hamjielewi..
Siku mkijielewa mtaacha kupingana na maneno yenu wenyewe..

Mlipinga tuliposema tunaelekea Dodoma, mkasema Dar ndio kila kitu..

Dar inaboreshewa miundombinu, sasa mmekuja na ngenga mpya.. Dar tena sio kila kitu..

Acheni unafiki..
 
Back
Top Bottom