Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 45,278 Reaction score 37,073 Apr 23, 2025 #161 LOTH HEMA said: vipi tena mkuu wangu wa idara ya siasa kutoa jibu la kuchekesha? Click to expand... nachekesha vipi gentleman na kuku hazionekani ? au umeziona mahali na umeuchuna tu? lete jawabu tuone kama ni zenyewe kwa faida ya wadau wa JF π
LOTH HEMA said: vipi tena mkuu wangu wa idara ya siasa kutoa jibu la kuchekesha? Click to expand... nachekesha vipi gentleman na kuku hazionekani ? au umeziona mahali na umeuchuna tu? lete jawabu tuone kama ni zenyewe kwa faida ya wadau wa JF π
Kasongo yeeyee JF-Expert Member Joined Oct 14, 2024 Posts 1,058 Reaction score 2,300 Apr 23, 2025 #162 ndege JOHN said: 8 Γ 0 =0 Why? 0Γ0Γ0Γ0Γ0Γ0Γ0Γ0=0 Click to expand... Sasa wewe mkuu hiyo mi zero yote umeitoa wapi wakati umeambiwa ni 8Γ0?
ndege JOHN said: 8 Γ 0 =0 Why? 0Γ0Γ0Γ0Γ0Γ0Γ0Γ0=0 Click to expand... Sasa wewe mkuu hiyo mi zero yote umeitoa wapi wakati umeambiwa ni 8Γ0?
Rodwell mTZ JF-Expert Member Joined Nov 16, 2012 Posts 1,582 Reaction score 1,798 Apr 23, 2025 #163 NAGAMAHONGA said: Hivi ni kuku wangu au kuku zangu? Click to expand... Hao wanaandika vilugha vyao vya nyumbani kwao
NAGAMAHONGA said: Hivi ni kuku wangu au kuku zangu? Click to expand... Hao wanaandika vilugha vyao vya nyumbani kwao