Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

Sawasawa Nimekusoma
 
Nijuavyo mimi vidéo ukiwa unaangalia YouTube huwa inajidownload pindi unaangalia, Hivyo ukiwa sehemu ina network nzuri 5 seconds vidéo inakuwa downloaded yote n'a unaweza kuangalia hata ukizima data.
 
yaani huu ni mchezo wa kitoto unawsha data unaliwa mb unazima inaplay mpaka ilipoishia kudownload unawsha tena then unazima ukiangali avideo ya mb 5 ujue umeliwa mb5 hakuna cha bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…