Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,879
- 3,299
Tazama, Fikiri na toa majibu
umejuaje haya usemayopicha hizo za kuchora na rangi zina maana nyingi zilizojificha...Yataka umakini katika kutanzua
Sababu kuu mbili ya kwanza ni kutokana na matendo wanayofanya hapo inakupa picha au taswira fulani kuwa mchoraji alitaka kumaanisha hivi na hivi... Pili Nimewahi kuona picha nyingi za aina hiyo zenye mafumbo ambayo inahitaji umakini sana kuliko kuangalia kawaidaumejuaje haya usemayo
Sababu kuu mbili ya kwanza ni kutokana na matendo wanayofanya hapo inakupa picha au taswira fulani kuwa mchoraji alitaka kumaanisha hivi na hivi... Pili Nimewahi kuona picha nyingi za aina hiyo zenye mafumbo ambayo inahitaji umakini sana kuliko kuangalia kawaida
ile picha ni controversial sana hadi leo aiseeUmenikumbusha ile picha ya MONALISA
ile picha ni controversial sana hadi leo aisee
Hata ukienda Youtube, kila mtu anaichambua kivyake unashindwa uguse lipi uache lipiHakika mkuu, mpaka Leo hakuna aliyeweza kuitolea maelezo kwa ukamilifu kuna fumbo gani limefumbwa pale!
umejuaje hakuna aliye itolea maelezo kwa ukamilifuHakika mkuu, mpaka Leo hakuna aliyeweza kuitolea maelezo kwa ukamilifu kuna fumbo gani limefumbwa pale!
umejuaje hakuna aliye itolea maelezo kwa ukamilifu
je ulijua dhamira ya mchoraji ama kipi kimekufanya uamini wote walio toa maelezo yake hawako sahihi
kama wafahamu hawako sahihi maana yake wewe wafahamu usahihi wa ile picha
vp kama jamaa alichora na haina maana yoyote sema.wanazuoni.mawenge yao tuMkuu zipompa sio kwa maelezo yangu tu bali kulingana na wanazuoni wakubwa duniani including scholars and historians wamefafanua sana kuhusu picha hiyo hasa maudhui yake (context)!
Wanazuoni wote wanakubaliana kuwa mpaka leo hakuna aliyewahi kuifafanua picha hiyo kwa uhakika kuhusu kile hasa mchoraji mahiri artist Leonardo da Vinci alichotaka kueleza (portrait) kupitia sanaa yake hiyo!
Wengine wanabuni tu labda inaashiria miraculous creation of nature, wengine wanaeleza huenda ni mambo ya dini, wengine wanaeleza huenda kuna codes za siri kwenye picha ile ambazo dunia ikizijua itaweza kupata siri kubwa sana, wengine waifafanua kama fumbo mysterious!
Mkuu picha ya Monalisa imebaki kuwa mjadala mkubwa dunia kwa karne kadhaa, hebu jaribu ku- Google tu utapata mengi zaidi.
Alfu lela ulelaShehazadi na Sultana wake wanabebishana...
Ahahaha mkuu yote yanawezekana! Naona umefikiria nje ya box.vp kama jamaa alichora na haina maana yoyote sema.wanazuoni.mawenge yao tu
mkuu wana zuoni wanazingua jamaa kajichorea wao wao wana waza eti kaficha maana flaniAhahaha mkuu yote yanawezekana! Naona umefikiria nje ya box.