Tazama “timeline” yangu ya kusafiri hapa

smarte_r

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
4,582
Reaction score
12,245
watu wa ughaibuni waliwahi kusema "travel is a form of learning", na wahenga wetu wa kiswahili wakasema mtembea bure sio sawa na mkaa bure.

napenda sana kusafiri, iwe kikazi au kwa matembezi ya mapumziko(vacation).

hali hii imetokana na nature ya kazi yangu ambayo hunifanya niwe nasafiri mara kwa mara ndani na nje ya mipaka ya tanzania.

kijografia tanzania ni kubwa sana,huwa nasikia furaha sana ninapotembelea maeneo mbalimbali ya nchi hii kubwa hapa africa mashariki.

je? wewe kwa mwezi unasafiri mara ngapi katika maeneo tofauti hapa tanzania?.

share location za mikoa uliyotembelea ndani mwezi mmoja. hata kama ulisafiri mwaka jana, wewe share tu kwa kuweka screenshot.

hii ni mikoa niliyotembelea ndani ya mwezi april pekee.
 
Mi najitahidi kila baada ya miezi mi3 kutembelea kivutio kimoja cha utalii..nshaenda magoroto,mlima kilimanjaro kupanda,arusha park,bagamoyo,saadan,pangani,kilwa,mafia,mikumi.napanga kwenda ruaha na selous
 
upo vizuri sana.....tupe uzoefu wako wa maeneo hayo.
 
.....na hakuna usafiri ninaoupenda kama usafiri wa gari maana unakupa uwanda mpana wa ku explore maeneo mengi.

Mie safari ndefu hazinipendi

Huwa napata headache kali mixer kichefuchefu...huwa nafika mwisho wa safari mgonjwa
 
Kusafiri rahaa sanaa

Ajar ndio huwa zinaniogopesha.
 
Mie safari ndefu hazinipendi

Huwa napata headache kali mixer kichefuchefu...huwa nafika mwisho wa safari mgonjwa
pole sana... ni kawaida mwili kushtuka unaposafiri. hii inatokana na mwili kukaa chini mda mrefu kwenye chombo cha usafiri.

lakini pia inatokana na mabadiliko ya hali ya hewa hasa pale unatombelea mji ambao una hali ya hewa tofauti na mji wako wa awali.

ila baada ya mda hali hiyo hutulia.
 
Hii hali iko hivi kwangu kila nikitumia bus kusafiri kwa masaa mengi...nimesoma mkoa nje ya huu ninaoishi so ni kitu kilikuwa kinatokea kila nikisafiri

Hiyo hali wala haikutulia kabisa ilikuwa ni hivyo hivyo
 
sasa joanah utaweza kusafiri umbali mrefu kweli?...let say tanzania to australia kwa ndege?... [emoji16][emoji16][emoji16]

nasikia inachukua masa 11 na dakika 76.
 
sasa joanah utaweza kusafiri umbali mrefu kweli?...let say tanzania to australia kwa ndege?... [emoji16][emoji16][emoji16]

Sidhani kama ndege itakuwa ina tatizo kwangu hata kama itakuwa ni umbali wa kiasi hiko kama Tz-Australia
Ukiwa katika ndege hufeel mabadiliko ya hali ya hewa wala hakuna purukushani kama zilozopo katika mabus

Kilichokuwa kinanifanya niumwe nafikiri ni zile purukushani za bus na hali ya hewa ya huko njiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…