sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Khaaa.... Mkuu una uchaguzi muruaaa kabisa... Na mi nimechagua hapo hapo... Shy land anataka kuishi kanda ya kusini ya ramani... sijui atapata manufaa gani..Katika ramani hiyo mimi nimechagua kuishi kanda ya kati kusini...mpakani mwa milima miwili kwenye uoto wa asili huku kukiwa na kisima kwa ajili ya malisho ya mfugo wangu........
Huyo panamfaa kanda ya juu kaskazini mashariki mwa jangwa la sahara..........Khaaa.... Mkuu una uchaguzi muruaaa kabisa... Na mi nimechagua hapo hapo... Shy land anataka kuishi kanda ya kusini ya ramani... sijui atapata manufaa gani..
nchi gani ipo eneo la kupumulia ambako wakati wote harufu mbaya inanukia hapo? naona kama itakuwa ghana na nigeria na kushuka magharibi ya afrika hadi angola. ila tz tupo upande wa mbele kula anakofunga viatu.harufu hadi ije itukute hadi uzunguke.Hii ramani ina'reflect kabisa uafrika wetu.... Afrika sura ya nchi na tawala..
.View attachment 228391
Aione pia Shy land, KikulachoChako, miss chagga, Honey Faith, Zinduna, utafiti, william j. malecela
Ina maana Africa tumeumbwa wa duara...
nchi gani ipo eneo la kupumulia ambako wakati wote harufu mbaya inanukia hapo? naona kama itakuwa ghana na nigeria na kushuka magharibi ya afrika hadi angola. ila tz tupo upande wa mbele kula anakofunga viatu.harufu hadi ije itukute hadi uzunguke.
Poa jamaa angu, kama vipi toka nduki....
nimefikirisha ubongo kuliko wewe. akili yako wewe ilipoishia ni pale kuwaza kuwa wapi katika ramani hiyo pana utamu?nani yupo mahali paliponona penye asali....kumbe huo ni uzinzi tu. wengine tunawaza zaidi ya hapo penye utamu.Mkuu na we umefikirisha ubongo kweli... aya bana...