Marashi
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,774
- 4,269
Kwa hali hii Serikali inatakiwa kuchukulia serious suala la Covid 19 na kutoa clear guidelines kuhusu hadhari ya korona na Wizara ya Afya na ile yenye dhamana ya mashauri ya kigeni zichukue hatua madhubuti kufafanua position ya nchi kuhusu mapambano dhidi ya janga hili.
Vinginevyo ulimwengu unaendelea kutuona sisi ni jamii 'isiyojali' na hili limetokana na misimamo bomu ya kiongozi aliyepita (au aliyepitiliza) iliyopelekea wazungu kutu-lebo kama jamii tukutu.
Mama ajipambanue ili Dunia ifahamu enzi nchini Tz imebadilika na kwamba Tanzania ya sasa sio Tanzania ile ya Rais aliyekatishwa ndoto zake na Kifo cha ghafula.