Tazama misimamo ya Rais aliyekatishwa ndoto zake inavyoendelea kuligharimu Taifa

Marashi

JF-Expert Member
Apr 14, 2018
2,774
4,269
Kwa hali hii Serikali inatakiwa kuchukulia serious suala la Covid 19 na kutoa clear guidelines kuhusu hadhari ya korona na Wizara ya Afya na ile yenye dhamana ya mashauri ya kigeni zichukue hatua madhubuti kufafanua position ya nchi kuhusu mapambano dhidi ya janga hili.

Vinginevyo ulimwengu unaendelea kutuona sisi ni jamii 'isiyojali' na hili limetokana na misimamo bomu ya kiongozi aliyepita (au aliyepitiliza) iliyopelekea wazungu kutu-lebo kama jamii tukutu.

Mama ajipambanue ili Dunia ifahamu enzi nchini Tz imebadilika na kwamba Tanzania ya sasa sio Tanzania ile ya Rais aliyekatishwa ndoto zake na Kifo cha ghafula.
Screenshot_20220119-203429_Chrome.jpg
Screenshot_20220119-204028_Chrome.jpg
 
Kazi ya viongozi ni kuongoza (ushawishi) sasa kama wanafeli hapo sijui tatizo lipo kwa nani wakomae washawishi wananchi wawaelewe kama walivyomuelewa huyo unayedai alitufikisha hapa

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Why do you think it is important to just follow everything the world tells us to follow?
Acha double standards...Kenya alikuwa na msimamo sawa na Tanzania? Hivi hawa bodaboda, mama ntilie na kadhalika,wangelishwa na nani kama tungekuwa na lockdown? Anayedhani amesimama aangalie asianguke
 
Kuna watu wanawaza hela kuliko uhai
Hii post imekaa kishabiki kuliko uhalisia.
Anayeandika utafikiri analala peke yake kwenye vitanda viwili kwenye nyumba tofauti. Mwenyezi Mungu fundi...hata tukijifanya wajuaji kiasi gani, bado tunabanana kulekule kuanzia mdomoni, chooni mpaka kwenye kuwekwa kaburini
 
Why do you think it is important to just follow everything the world tells us to follow?
Acha double standards...Kenya alikuwa na msimamo sawa na Tanzania? Hivi hawa bodaboda, mama ntilie na kadhalika,wangelishwa na nani kama tungekuwa na lockdown? Anayedhani amesimama aangalie asianguke
Cjadema na CCM msilahi ni kazi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom