Tazama jua lilivyo surface yake kwa karibu

Tazama jua lilivyo surface yake kwa karibu

mxyo16

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
1,243
Reaction score
760
Camera maalumu zinaweza kulipiga picha na kupata mwonekano wake halisi wa ardhi yake bila ule mwanga mkali tusioweza kuona kwa macho. Ile surface ni moto full-time na pia milipuko ambayo hua inauwezo kuathiri maisha yetu ya kilasiku...kama mawasiliano, setelites umeme etc.

2EFF295100000578-3343135-image-a-35_1449083069812.jpg

UNDER THE RIGHT CONDITIONS OUR SUN COULD PRODUCE AN ENORMOUS SUPERFLARE

IT'S THE END OF THE WORLD AS WE KNOW IT

ByMary Beth GriggsPostedDecember 3, 2015
sun_b_boarder.jpg

University of Warwick/Ronald Warmington

Superflare

An artist's impression of what a superflare might look like on our own sun

Solar flares are gorgeous, but the delicate fiery loops that we've observed during humanity's brief study of the sun are nothing compared to what other, similar stars are up to.

In arecent paper, researchers detail their observations of 'superflares' on a binary star in our galaxy named KIC 9655129. These superflares are huge solar flares that are much larger than any that we've observed coming off our own sun.

But even though they differ in terms of magnitude, (a superflare might give off the energy of a billion-megaton bomb while our sun's solar flares reach a piddling 100 million megaton-bomb) researchers discovered that the underlying processes that drive the superflares on other stars is the same basic engine that drives solar flares on our own stars--periodic oscillations of magnetically charged plasma within the interior of the sun. So, could it happen here? Maybe. But if it did, the results would be very bad.

“If the Sun were to produce a superflare it would be disastrous for life on Earth; our GPS and radio communication systems could be severely disrupted and there could be large scale power blackouts as a result of strong electrical currents being induced in power grids," lead author of the paper, Chloë Pugh, said in astatement.

But stop your panicked screenplay writing. According to Pugh, “[T]he conditions needed for a superflare are extremely unlikely to occur on the Sun, based on previous observations of solar activity.”

And if the sun did ever produce a superflare, or just a really large regular flare, we'd at least have a little bit of warning that it's headed our way. Newforecasting techniquesfor solar weather combined withbetter observational equipment like the DSCOVR satellitemeans that even if the worst is on its way, we can still try to get ready for it.
0C9002B600000578-3343135-image-a-37_1449084003152.jpg
 
Mambo kama haya watu huogopa sana kuyafuatilia, maana wanaamini yanaogopesha. Si umeona hata uchangiaji ni mdogo katika hili. Wanadamu siku zote tunauogopa ukweli hasa wa kiuumbaji wake Mungu.

Ahsante!
 
Binafsi picha kama hiyo, inaniletea maswali mengi sana, ila naamini hii maada sio mahali pake pa kuyauliza. Kumbe jua ama mwezi tunazi / viona tu viking'aa, kumbe kuna vya kutisha ili kufanikisha huo ung'aaji.

Ahsante!
 
Aise ndio maana nakataa Mungu hawezi kuchoma watu wake kwa moto kama huo..(kama yupo) kisa watu wametenda hasiyoyataka..da huruma ya mungu itakuwa wapi hapo?
 
Mambo kama haya watu huogopa sana kuyafuatilia, maana wanaamini yanaogopesha. Si umeona hata uchangiaji ni mdogo katika hili. Wanadamu siku zote tunauogopa ukweli hasa wa kiuumbaji wake Mungu.

Ahsante!
Bahati mbaya hata huyo Mungu mwenyewe aliyeumba hayo madude naye anaogopesha pia........
 
Mambo kama haya watu huogopa sana kuyafuatilia, maana wanaamini yanaogopesha. Si umeona hata uchangiaji ni mdogo katika hili. Wanadamu siku zote tunauogopa ukweli hasa wa kiuumbaji wake Mungu.

Ahsante!

Inawezekana hawachangii kwa sababu ulizozisema ama hawana elimu au taarifa za kutosha juu ya hilo.

Ukilitafakari jua, unaogopa, linatisha. Huko angani kwenye galax kuna majua mengi tu. Mwanzilishi wake ni nani?

Katika ukristo tunajua hapo mwanzo palikuwa na Mungu,hata anga(space) haikuwepo. Aliiumba Space akatia humo galax kwa maelfu.
 
Mbona tunaambiwa kuna watu wanapanda hadi mwezini huko si linachoma sana???
 
Mambo kama haya watu huogopa sana kuyafuatilia, maana wanaamini yanaogopesha. Si umeona hata uchangiaji ni mdogo katika hili. Wanadamu siku zote tunauogopa ukweli hasa wa kiuumbaji wake Mungu.

Ahsante!

Kitang'wa ungependa ujue nini kuhusu jua au ulimwengu kwa ujumla....Chamsingi kuujua ulimwengu haimaanishi kuwa kinyume cha mungu.....wana sayansi wamesha gundua mambo mengi kuhusu ulimwengu lakini hawajui kwanini vitu hivi vyote vipo hivyo kama vilivyo....ndio hapo yupo aliyesababisha yote hayo....ila wameshajua mengi sana ambayo yapo wazi hata kwako wewe kujifunza wala usiwe na uoga.
 
Mbona tunaambiwa kuna watu wanapanda hadi mwezini huko si linachoma sana???

mwezi upo kilomita laki 3.8 kutoka hapa tulipo, jua lipo kilomita milioni 149.6, Kwenye mwezi joto ni nyuzi 100 mchana usiku ni baridi sana nyuzi negative 177 centigrade. joto kwenye jua inakisiwa ni nyuzi 5500. Kwenda kwenye mwezi unahitaji mavazi maalumu kujilinda na joto na kemikali zilizopo katika anga ya mwezi. Kwenda juani sidhani kama plan ipo ila kuna vifaa spesho vina zunguuka angani kulichunguza maendeleo yake. jua lina kadiriwa kuwa na umri wa miaka bilion 4.5 hata mwezi pia.
 
kaka nimependa sana hii elimu na umenikuna sana na ningependa kujifunza zaidi kuhusu haya mambo, nipe tovuti nisome zaidi
 
Bro thanks for a new knowledge to me. keep on educating us.
 
Wanasayansi hawajagundua kama kuna kiumbe anaeishi hapo katika Jua?!

Pia nimesikia jua si kitu tangible kama ulivyp mwezi au Dunia vile bali ni gas tu so we all see it ila hatuwezi kuishika!! Nikimaanisha waweza rusha jiwe kama litahimili joto liliopp basi laweza tokea upande wa pili!!

Nimeuliza kuhisu viumbe na uwezekano wa kuwepo katika Jua sababu kuna minyoo sijajua ni ya aina gani ila ipp katika Jehanamu ya Moto na inaishi pasipo shida!
 
Hehehe mkuu usilete dini kwenye sayansi, hakuna kiumbe kwenye jua, wala hakuna kiumbe chochote ambacho tunajua kinaweza kusustain joto kubwa namba hiyo, jua kwa juu ni 5500C ila kwa ndani kuna pressure kubwa na joto linaweza kufika 15Million C. hakuna kitu chochote kinachoweza kusurvive joto hilo. Na hao viumbe unaoongelea sijui jehanamu, we unahisi jehanamu ni kwenye jua?? labda kasome kitabu chako cha dini vizuri, kama kinasema wanaungua kwenye jua basi kipotezee mbali kabisa.

Em angalia scale ya jua lilivyo kubwa, pale kwenye "Earth" ndo dunia, Ukichukua dunia 1.3Million ndo zitaweza kujaza jua, hao viumbe wako lazima watakua wanaenjoy kinoma.

attachment.php
 
Attachments

  • sun.jpg
    sun.jpg
    10 KB · Views: 5,573
Back
Top Bottom