Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,955
Saidia bila kutazama umetoa mara ngapi???Asante. Itanoga saana mkiwa navyo vya kusaidianaa. Ukitegemea binadamu mwisho watakuchoka.
Sawa.Saidia bila kutazama umetoa mara ngapi???
Amina hubby wanguMungu akubariki sana Bae na akupe moyo wa kuwasaidia wengine.
Hio avatar yako haihimizi upendo tu ila inaenda mbali zaidi.Asantee... Nakapenda hako ka wimbo
Inabidi usiipeleke mbali zaidi maana ni avatar tuuHio avatar yako haihimizi upendo tu ila inaenda mbali zaidi.
Imenizuia kufocus kwenye njia nyembamba ya uzima,,nahisi nimeshahamia kwenye njia pana ya upotevu.Inabidi usiipeleke mbali zaidi maana ni avatar tuu
Toka kwenye njia pana ya upotevu maana, Mimi mwenyewe mwenye avatar nipo njia nyembamba, Sitaki upoteeImenizuia kufocus kwenye njia nyembamba ya uzima,,nahisi nimeshahamia kwenye njia pana ya upotevu.
Weka Basi avatari itakayotushawishi tusiiache njia nyembamba yenye unyoofu....Toka kwenye njia pana ya upotevu maana, Mimi mwenyewe mwenye avatar nipo njia nyembamba, Sitaki upotee
Naiweka sasa hvWeka Basi avatari itakayotushawishi tusiiache njia nyembamba yenye unyoofu....