Tazama hii picha kisha sema huyu raisi alikuwa anasoma risala ya nini?

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,853
1,521
Mi nahisi alikuwa anawaambia kuwa "Kuanzia leo nafungia mabwawa yote ya kuogelea"
IMG-20180906-WA0022.jpg
 
"Hakuna kutembea peku tena ktk awamu yangu, kila mtoto anahaki ya kuvaa yeboyebo, kuwa Rambo, Van Dame au mwandishi wa habari ilimradi tuu asionekane sura yake wakati nahutubia. Haya sasa tutembee vifua mbere tupo ktk raiti traki'

Nb
Huyo mhutubiaji akikua likely atakuwa na bald head. Wzazi wake wahakikishe ana utendea haki huo ubaldness
 
Kuongeza mishahara na kupandishwa madaraja kwa watumishi wa umma
 
Marufuku kunyoa na pia marufuku kuchana.

Sijui rais wa nchi gani huyu?
 
Sitashangaa baada ya miaka kadhaa nikimkuta huyu dogo katika nafasi kubwa ya kisiasa
 
Back
Top Bottom