Taz JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 304 Reaction score 158 Feb 14, 2012 #1 Wakuu nimejiunga leo hii, naomba kupokelewa, kukosolewa, kufunzwa na kupewa fursa ya kukosoa na kufunza pia. asanteni
Wakuu nimejiunga leo hii, naomba kupokelewa, kukosolewa, kufunzwa na kupewa fursa ya kukosoa na kufunza pia. asanteni
Gabmanu Senior Member Joined Feb 9, 2012 Posts 161 Reaction score 9 Feb 14, 2012 #2 Mwenzako nilimpangia idara ya usafi sasa wewe yako hii; MWIKO,SUFURIA nakukabidhi we s mgen tena! Nikukute jikon biashara ya kuanza kuzunguka zunguka na kushanga majengo acha kabisa. Karibu
Mwenzako nilimpangia idara ya usafi sasa wewe yako hii; MWIKO,SUFURIA nakukabidhi we s mgen tena! Nikukute jikon biashara ya kuanza kuzunguka zunguka na kushanga majengo acha kabisa. Karibu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,866 Reaction score 13,850 Feb 15, 2012 #3 Karibu sana JF mkuu.
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Feb 15, 2012 #4 karibu sana