[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kuoa wataoa wengine mkuu mi tayari nimeshachumbia kwingineDuh, zero wewee[emoji3] [emoji3] uwaoe kabisa sasa. Siyo kuwaachia lile jina tu(single mom)
Sent using Jamii Forums mobile app
Akii, si Kwa uharibifu huo mkuu. Unazalisha kwingine, unachumbia na kuoa kabinti kengine kabichii aisee, Mungu anakuzoom tuu[emoji3] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kuoa wataoa wengine mkuu mi tayari nimeshachumbia kwingine
CC Zero IQ
Tatizo mko wengi ratio ni 1:4, wengine dini zetu kuoa mwisho mmoja tu sasa huko kwingine tunatoa msaada.Akii, si Kwa uharibifu huo mkuu. Unazalisha kwingine, unachumbia na kuoa kabinti kengine kabichii aisee, Mungu anakuzoom tuu[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watoto sasa, baba yao Zero IQ wenyewe sijui watakua na -ve ngapi IQ. Hawatoleta shida mtaani hawa,huhuuTatizo mko wengi ratio ni 1:4, wengine dini zetu kuoa mwisho mmoja tu sasa huko kwingine tunatoa msaada.
CC Zero IQ
Watarithi kwa mama zao mkuu huwa nachagua wale walio bright kichwani siyo bright kwa makalioHao watoto sasa, baba yao Zero IQ wenyewe sijui watakua na -ve ngapi IQ. Hawatoleta shida mtaani hawa,huhuu
Sent using Jamii Forums mobile app
ile ndoto yangu ya kuwa na watoto watatu kwa wanawake watatu tofauti kabla ya mwaka huu kuisha nafikiri inaenda kutimia,
Tayari nimempa mimba msichana mmoja ina wiki 3 sasa bado wasichana wengine wawili tu ili ile ndoto itimie ,
Nawish ndoto yangu soon itatimia.
CC Zero IQ
Ww si ulisema tayari una mtoto kwa wife wako to be ama vipiile ndoto yangu ya kuwa na watoto watatu kwa wanawake watatu tofauti kabla ya mwaka huu kuisha nafikiri inaenda kutimia,
Tayari nimempa mimba msichana mmoja ina wiki 3 sasa bado wasichana wengine wawili tu ili ile ndoto itimie ,
Nawish ndoto yangu soon itatimia.
CC Zero IQ
Single mama future possible tenseile ndoto yangu ya kuwa na watoto watatu kwa wanawake watatu tofauti kabla ya mwaka huu kuisha nafikiri inaenda kutimia,
Tayari nimempa mimba msichana mmoja ina wiki 3 sasa bado wasichana wengine wawili tu ili ile ndoto itimie ,
Nawish ndoto yangu soon itatimia.
CC Zero IQ