Tayari keshapost

Amazing, wameuwawa wakati wakipokezana lindo?
 
Kisheria anaruhusiwa kuvaa hizi nguo au anaiga za comedy?

 
Weird timing...! Bank wamechukua bei gani?
Sidhani kama kuna upotevu wa fedha maana hadi askari wanakabidhiana lindo bank huwa zishafunga, ila mshangao wangu upo - je how jamaa waliwazidi nguvu askari wetu, maana wakati wa makabidhiano askari huwa wengi kwenye lorry/ bus au gari linalowaleta na kuchukua wengine.
 
Waliletwa na zile Ashok za msaada toka India
 
Haruhusiwi kwakuwa cheo chake ni cha kisiasa..labda kama kiasili ni askari tena mwenye service number
Mshana ndugu yangu haya maigizo mwisho lini. Sina CV yake ila nahisi hana mafunzo ya kuwa Askari wala namba hana. He viongozi wataacha lini hizi drama. Kuvaa ivyo ni kwaajili ya nini? Wananchi wanawatazama. Wanaiwaiga wanapelekwa polisi ila wao wanatazamwa. Shame on them. Sheria ni msumeno.... Tujitahidi kupata maelezo mantiki ya kuvaa izo nguo ulikuwa ni IPI?
 
Hata mimi nimeshangaa kumuona mwigulu kavaa uniform za polisi!!! Ni mara yangu ya kwanza kuona waziri mwenye cheo cha kisiasa tu kavaa sate za jeshi.
 
Wakati wa Mchonga huyu tayari angepewa likizo ya muda mrefu
 
Hawa jamaa kama wasingekuwa wamefanyishwa mazoezi hiyo juzi wala wasingeuwawa...

Kama wewe umeshawahi kufanya mazoezi kisha ukaacha.. Ukianza tena nadhani unayaelewa maumivu yanayokuja baadae kwenye misuli....

Hawa polisi wetu wangekuwa wanafanya mazoezi kila siku asubuhi huenda leo tungesikia

POLISI WAUWA MAJAMBAZI WANNE WAKATI WA MAKABIDHIANO YA LINDO CRDB....
 
Reactions: MC7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…