Tayari Kabisa Kujilipua

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,258
12814475_523098527869520_6258277888775940288_n.jpg
 
Halafu akishatawanywa na hayo madudu na kuwawahisha binadamu wasio na makosa, anapanda cheo kuwa shahidi!
 
Wanampigania Allah hao!! kweli nimeamini Allah ni dhaifu sana yaani mpaka anawategemea watu kumtetea!!!!?
 
Hii imani huwa inanichanganya sana. Je ni kweli Uislamu kwenye kitabu chao kuna maelekezo hayo au ni misinterpretation tu.
 
Wapiganaji wa "Allah" hao!
Allah ni tofauti na Mungu muweza wa yote aliyeumba na anayetawala kila kitu ninayemuabudu. Yeye hatumi binadamu dhaifu kumpigania na hata akitaka kuifutilia mbali hii dunia anaweza kwa sekunde tu.
 
Nahitaji maelezo zaidi katika hili la kujilipua kwa ajili ya imani. Vifungu vya kitabu nk.
Kuna video yao ma alshabab, yanaimba eti wao ndio simba wa "Allah" yaani majitu yamekuwa brainwashed kiasi hiki! Huyo Allah anahitaji kulindwa kweli? Na ina maana bila watu kumpigania hawezi lolote! Ni laana kubwa kusema Allah hajiwezi.
 
Kama sio kwa ajili ya kubishana, Allah au mwenyezi Mungu haitaji kusaidiwa. Wako inaowapendeza kusema hivyo au kuamini iko dini inaelekeza hivyo. Tena kwa maelekezo ya uislamu ni dhambi kubwa kuuwa watu wasio na hatia wakiwemo wanawake na watoto achilia mbali kujiua
 
Back
Top Bottom