simba wa dodoma
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 925
- 1,010
- Thread starter
- #81
Mimi na hiyo App. Nilifuta kabisa.... Napanda gari Mwanzo wa safari inakuandikia 6,000. Nafika Inaandika 15,000. Namuuliza Dreva ananiletea maneno mengi.... nikaona huu ni Utapeli mpya mjini.Nimekoma kuitumia tena,nimekomaaa
Wamejishtukia nao wamebadilisha jina lakini wateja washakimbiaMimi na hiyo App. Nilifuta kabisa.... Napanda gari Mwanzo wa safari inakuandikia 6,000. Nafika Inaandika 15,000. Namuuliza Dreva ananiletea maneno mengi.... nikaona huu ni Utapeli mpya mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app
muhindi we si unaendeshwa na dereva kwenye v8Sijawah kutumia taxify .
nilitoka chuo kikuu hadi airport kwa bajaj zao nikalipishwash14000 nilitoa macho nikatikisa tu kichwa tofaut kabisa na uber
Sent using Jamii Forums mobile app
Najiendesha mwenyewe kwenye mountain bikemuhindi we si unaendeshwa na dereva kwenye v8
Hujui gari wewe kaa kimyaUkiona wi gu ni dalili ya mvua, serikali iangalie Bei wanazotoa hao uber au taxify wamezipata wapi ,sumatra au jiji, umweli lazima uwe ukweli kabla ya kulaumu Tafuta abiria mwenye kagari kake atoke kariakoo mpaka kimara na awashe AC aweke mafuta ya elfu20na kifoleni aone kama atafika ub
Me ntakuwa nyuma kukushikilia usianguke kama vile vibaiskeli vya watotoNajiendesha mwenyewe kwenye mountain bike