taxes -importing car from zanzibar

YoungCorporate

JF-Expert Member
Apr 30, 2010
391
113
wakuu nasikia ukinunua gari unguja kujanalo tanganyika ya zamani kuna kodi ambazo hupaswa kulipia, ambazo ni tofauti ya tozo za kodi kati ya unguja na ex-tanganyika. <br />
<br />
Kwakuwa sheria hazifuatwi nchi hii, hata nikifuatilia details za sheria za kodi haisaidii sababu ni tofauti na real practice . Hivyo naomba mdau mwenye uzoefu na hili atupe insights ya makadirio ya gharama za kodi zinatozwa ex-tanganyika ukiingiza gari ambayo imelipiwa ushuru unguja haswa kwa gari ndogo.
 
Charges za customs taxes on importation zote za magari kutoka Zanzibar to Tanganyika hua zafanywa on differential tax method..hapa namaanisha ukinunua gari zanzibar ambalo lililipiwa kodi ya Tshs. 2m na kwa muda ambapo unalodge documents lipate sajili Tanganyika kama kodi stahili ya hilo gari ni Tshs. 4m hapo utalipia Tshs. 2m as differential tax..ila hua hamna refunds kama lililipiwa kodi kubwa wakati laingia Znz..
 
Back
Top Bottom