Tax za baharini

Tax za baharini

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,187
Reaction score
46,624
67524_316745201785369_1568335808_n.jpg


Lini Kigamboni tutapata huu usafiri
 
Mkisha punguza porojo na kuchapa kazi kwa bidii na moyo mmoja vitakuaja tu .
 
Meneja wa bandari angekuwa na uwezo wa kwenda nayo hadi nyumbani, mbona hata huku bongo zingekuja fasta.
 
Mh watatuteka bure majini huko, kufumba na kufumbua unajikuta upo comoro hahahahahaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom