Tax Management Officers tupeane pole

ukifungua kiofisi chako cha kufanyia watu mahesabu yao ya kodi .maana huku vijijini wafanyabiashara wanakosa sana na kujikuta wakilipa kodi kubwa bila kujielewa

Mpaka upate ile certificate ya Certified Tax consultant inabd uwe umejipanga sana, uwe na connection na pia uwe na hela otherwise bora uwe kishoka tu mbona mambo yanakwenda fresh
 
Maswali yalikuwa kutafuta total VAT walitoa mauzo ya miezi 6 the unatafuta tota VAT, stamp duty, penalty za tax kukwepa Efd na mengine siyakumbuki

1. Failure to acquire and use EFD machine upon commencement of business operation described and punishable under Section 86(a) of TAA 2015


2. Failure to issue fiscal receipt upon receiving payment for the sale of goods/services punishable under Section 86(1)(b) of TAA 2015.

Penalties are currency point 200 to 300
1 currency point= 15,000

3. VAT = Output Tax - Input Tax
In Tanzania VAT is charged by 18%.

With holding Tax = 10%
STamp Duty = 1%
 

VAT penalties for individual = 75,000
Corporate= 225,000 monthly
 
Hapa ndan ya pepa na mda wao wa bila kuw ana saa lazma uone dunia chungu
 
Inabd waweke saa kubwa ya ukutan mbele kufanya pepa bila saa sio fair.. au labda ndio mbinu za kupunguza watu...

Hata hvo miee nilikosa pepa nilikua offline sikua na taarifa za kubadilishiwa venue nikaja kujua mda ushaenda
Sawa haikuwa bahat yako subr inayokuja yaani watu wamechanganikiwa zaid mtu huna calculator halafu wameweka swali la calculation halafu zina figure mamilioni hapo unachanganikiwa zaid
 
Namba mbili kimebadilika mkuu, kinatakiwAa kusomeka hivi;

"Fails to issue fiscal or fiscal invoive at the time of supply of goods,rendering service or receiving payment for goods or service"
 
Haya si unagogle ama hunguingia na device yenye intenate
 
Ndugu zangu poleni sana kwa paper tulilopitia la Tax Managemeng officers II, bado tunaendelea kukosa ajira kwa kuteseka na mitihani, hongereni kwa wote mliojiandaa vyema. Mungu atubariki sote.
Sikiza mkuu, hapo hakuna cha kujiandaa vema unaeza shangaa ukatokea oral ya Mungu mengi. Ile nyomi ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…