fenisher
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 339
- 712
Nilienda kweny interview ya assistant accountant....mamb yalikuw hivi;
Mr. Maswal; unaonekana umesomea kodi na forodha sasa inakuaje unataka kuwa accountant
Me; huez kujua kias cha kodi bila kujua accounts..huo ni msingi wa kodi
Mr. Maswali; sasa kwanin usiombe kazi mtaan kwenu
Me; mtaani kwetu...!! kivip mr...??
Mr. Maswal; bhac kapite kila nyumba mtaan kwenu ukaelekeze kukata kodi za nyumba hapa tunataka wahasibu.....sawa