Tawi la CHADEMA Mwenge university lapata uongozi mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tawi la CHADEMA Mwenge university lapata uongozi mpya

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by TEMILUGODA, Jun 2, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Pamoja sana wanabodi! Napenda kutumia nafasi hii kuwapongeza wanachama wote wa Chadema tawi la Chuo kikuu cha Mwenge[MWUCE]leo limepata uongozi mpya katika uchaguzi ulio simamiwa na Katibu wa CDM wilaya ya Moshi vijijini ndg Chuwa akiambatana na diwani wa Uru kusini mh.mwl Komu,uchaguzi ambao ulifanyika maeneo ya tawi hili.Viongozi wapya ni kama ifuatavyo; 1.m/kiti ni Laizer Thobias[2nd yr] 2.Katibu ni Musa Molel[2nd yr] 3Katibu mwenezi ni Cosmas Schinga[1st yr] 4.Mtunza hazina ni Benihardit Mwengo[2nd yr] wajumbe wa mkutano wa kata ni; 1.Bi.Zawadi Ponera[2nd yr]. 2.Kileo Daniel[2nd yr]. Kwa ujumla haya ni majembe ambayo yatalipeleka tawi hili kwenye ushiriki murua wa kukamata dola mwaka 2015 kwani bila shaka yapo majembe kutoka tawi hili yatakayo gombea nafasi mbalimbali katika jamii ya watanzania. NAWASILISHA.
   
 2. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  asante, wakapige kazi wasilale, na karibuni sana kwenye uana harakati
   
 3. Skp2ole

  Skp2ole Senior Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pamoja sana kamanda temilugoda na ninakuhakikishia tutafakisha tawi hili pazuri sana then nikurekebishe tu majina yangu ni mussa thobiko mollel na si molel ila hapajaharibika kitu
   
Loading...