CHADEMA chuo kikuu Mwenge yaiswaga CCM

CHADEMA chuo kikuu Mwenge yaiswaga CCM

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
1,389
Reaction score
285
Wana Jf,habari.

Kwa taarifa za uhakika kutoka kwa mwenyekiti wa tawi la chuo kikuu cha Mwenge mjini Moshi,kamanda Cosmas Schinga ni kwamba jumla ya wanachama thelathini[30] wa CCM walijiunga na CHADEMA na kukabidhiwa na mgeni rasmi wa mkutano wa tawi,kamanda Amani Golugwa ambaye ni katibu wa CHADEMA kanda ya Kaskazini.

Kwa mujibu wa mwenyekiti huyo,CCM imebaki na wanachama 7 tu ambao ni viongozi tu,ambao nao inasemekana wapo kwa ajili ya kupokea mshiko wa mkoa maalum wa vyuo vikuu wa CCM.

Kwa kuwa mimi mwenyewe nimepata kusoma chuo hiki,nawapongeza sana makamanda kwa kuendelea kudhibiti kashkash ya CCM.

WIMBO ULEULE,KULA CCM,SHINDA CCM,LALA CHADEMA NA KURA CHADEMA.

source: taarifa ya mwenyekiti CHADEMA Mwuce.
 
Hahaha hahaha kula magamba, shinda magamba, lala chadema, kura chadema hahaha nimeipenda hiyo.
 
Ngoja waje LUMUMBA7 hapa. watakiponda hadi chuo..
 
Ni habari za kutia moyo kuona vijana chuoni wanajitambua. Hii ndio slaha sahihi ya kuwang'oa magamba. Anayekwenda kinyume na nguvu hii anajitakia mabaya mwenyewe.
 
wenye matamanio binafsi tu ndiyo wanaobaki ccm , bali wale wenye uchungu na nchi hii hujiondoa .
 
Magamba yameshikwa pabaya. .kweli chad 😛eace:ema ni noumer!
 
unadhani mwenge inapatikana nyuma ya keyboard? endeleeni kujificha nyuma ya keyboard kuitukana cdm,dr slaa na mbowe mkidhani mnakisaidia chama chenu kilichozeeka.

Mkuu,LB7 yanadhani mwenge ile ya bongo,hata hicho chuo hayajui kipo wapi kwa sababu yakichangia huwa hayasomi full story bali yana skimline tu.
 
Mbona hakuna taarifa hizo huko Mwenge??

au ww unafikiri ni Mwenge ya Dah???????? Kwa taarifa yako huo ndo ukweli.kabisa kuwa Jana kulikuwa na mkutano wa CDM tawi la Mwenge University-Moshi. Mgeni rasmi alitazamiwa kuwa Mhe.Natse Yohana Mbunge wa Karatu ila kwa sababu ya Mhimu ilimfanya asifike na badala yake akamtuma katibu wa Kanda ya Kasikazini kamanda Golugwa.Mm kama mwasisi wa tawi hilo la Mwenge ninajua ukweli huo kwamba magamba 30 walikabidhiwa kadi ya CDM siku hiyo.Japo nilishindwa kufika eneo la tukio kwa sababu hiyohiyo iliyomfanya Mhe.Natse asifike eneo la tukio coz Kamanda Natse nilikuwa naye kwenye function nyingine huku Moshi vijijini.Ha! Ha! Ha! Magamba tutayapeleka puta. Kamanda Temilugoda Mbunge mtarajiwa wa Kalenga upo?????????
 
Safi sana Mwanakasulu,haya maLB7 na ccm yao dawa yao ni kupiga za usoni na yakiinama unamalizia za maka.io.i,kamanda Mwanakasulu usihofu juu ya Kalenga,ni lazima CHADEMA itatawala,sikilizia chaguzi za SM mwakani.
 
Nawaaminia makamanda wa Mwenge! watawapeleka magamba mputamputa hadi yataisha! Vipi ile ahadi ambayo CCM walikuja nayo wakati wazindua tawi lao yakuwatafutia ajira wahitimu wote wa MWUCE waliokuwa wana CCM waliitekeleza kweli au ndouongo walouzoea?
 
¶¶¶¶¶chadema chadema peoples power.......chadema chadema peoples power¶¶¶¶¶
 
Ni mjinga na mpuuzi tu anaye weza kutegemea political statements kwenye ajira.Kadhalika kupata professional posts politically si credible.HIVYO KUFANYA KAZI KWA BIDI,MAARIFA NA UADILIFU NDIO CREDIBLE.CHADEMA TUPO KUNDI LA PILI[CREDIBLE GROUP]
 
¶¶¶¶¶chadema chadema peoples power.......chadema chadema peoples power¶¶¶¶¶

Tanzania Tanzania peoples power,iiiiiii dai haki yako mtanzania,tumia haki yako mtanzania,dai haki kwa nguvu ya ummaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom