Kama uko holiday unataka tawi nje la nini, nafikiri hapa kinachotakiwa si tawi CCM wana matawi mangapi nje yamesaidia nini kuwavuta vijana, kinachotakiwa ni commitment ya mtu hata kama hakuna tawi, tuna watu wengi wa aina hiyo na wanafanya kazi bila kushikilia tawi lolote na tunaona mafanikio yake, mambo ya tawi ni ya kizamani kuongeza majungu tu fulani hafai fulani anatumiwa na mambo mengine kama hayo pia ni kukaribisha traitors kwenye chama, kama uko nje pigana kiume ukiona huwezi ukiwa mbali njoo nyumbani ungana na wenzako kwenye mapambano.mKUU I THINK YOU ARE MISSING ALOT IN YOUR ANALYSIS
Kufungua tawi si lazima waige CCM but they can open as well without any problem... Ya uarabuni pamoja na historia ndefu, baadhi ya positives from their movement can be copied as well, si lazima tupitie njia ndefu
hayo ya ufisadi ni kweli kabisa
Ila la kukimbilia ughaibuni, sijui but i think other wamekwenda kutafuta elimu, others wamekimbia ufisadi, other wamefuata mkumbo, others wamepata nafasi ya kuwa na influence zaidi ya yanayotokea bongo and others are on holidays ... TUSIHUKUMU KIRAHISI KAMA UFANYAVYO WEWE
Thx we need people (Tanzanians) from every corner of the world to join us and together we can push for a new and true independence.Waheshimiwa viongozi wa Chadema.
Mara nyingi huwa tunasikia CCM inafungua matawi nje ya nchi lakini sioni wapinzani wakifanya hiv
Je, Chadema inakaribisha wanachama na wakereketwa wa Chama kufungua matawi nje ya nchi? Kama jibu ni ndio naomba mutusaidie jinsi ya kuwasiliana na Chama na ni nani wa kuwasiliana naye.
Historia yao hao waarabu ni ndefu mkubwa....mbona nyie mpaka leo hamjaonyesha makeke yoyote kuhusu katiba??au mauaji ya arusha??ni strengthen zipi ambazo mtazipata na kuzionyesha kuhusu njiii yetu hii...ufisadi still destroys us harshly and not softly...thats why nyie mmekimbilia ughaibuni!!
Kama uko holiday unataka tawi nje la nini, nafikiri hapa kinachotakiwa si tawi CCM wana matawi mangapi nje yamesaidia nini kuwavuta vijana, kinachotakiwa ni commitment ya mtu hata kama hakuna tawi, tuna watu wengi wa aina hiyo na wanafanya kazi bila kushikilia tawi lolote na tunaona mafanikio yake, mambo ya tawi ni ya kizamani kuongeza majungu tu fulani hafai fulani anatumiwa na mambo mengine kama hayo pia ni kukaribisha traitors kwenye chama, kama uko nje pigana kiume ukiona huwezi ukiwa mbali njoo nyumbani ungana na wenzako kwenye mapambano.
Mimi ninaona ni vizuri V.P. akapewa njia y kufungua tawi ili atimize azma yake aliyonayo moyoni kama mpenzi wa CDM
Hayo matawi nje ya nchi hayatusaidii cha msingi ni kutafuta wanachama wa kutosha ili 2015 watakavyopata urais wawe wamejipanga vizuri. Kwa saa chama kinachokubalika sana bila shaka ndio hicho.
Kama upo London binafsi umefungua matawi mangapi kama bado unategemea Slaa aje akufungulie, inavyoonekana watu mnaanza kulalamika hata kabla ya kufungua je mkifungua si mtadai hadi ruzuku mgawiwe. Hayo matawi ya Reading ya akina maina wa CCM ni matawi maslahi tu hayana maana yeyote si kuwa wana nia ya kuendeleza chama ni kujionyesha ili nao wakumbukwe waulize wamefanya mikutano mingapi kama si kusubiri Msekwa awatembelee ili wapige naye picha.mkuu hata kama hao waarabu wa historia ndefu lakini kimsingi lazima na sisi tufanye kitu kuliko kujibweteka, kuna umuhimu wa CHADEMA kufungua matawi ncho ya nchi, chadema ina wanachama wengi sana nje ya nchi na kutofanya kitu ni kuwaacha upweke, practically speaking mimi binafsi nimekutana na watu wengi sana hapa LONDON wakioji kwa nini chadema hakina matawi nje ya nchi.
kwa sasa chadema ni chama kikubwa sana na wakati wa kufanya hivyo ni sasa, na wala sio kuwaiga ccm, ila ni kuweka malezi mazuri ya watanzania waliopo nje na wanataka kushiriki siasa kwa kupitia vya makini kama chadema
Mkuu umesema vema nimeona mmepewa namba ya katibu naomba mfungue matawi na muendeleze mapambano huko huko...ili tuwapige nje ndani......unaposema hayatusaidi wewe na nani? wakati hapo unafunga mlango kwa wana-chadema wenzia, kwa umeambia kunaghlama yoyote ya kuwa na tawi nje ya nchi, na kama unataka wanachama hao watakao kuwa kwenye hayo matawi ni nini? na kama ni kupiga kura wewe una hakika gani kama wakati wa kura mtu anaweza kuwa nyambani? hii ni sehemu ya kushawishi watu kukifuata chama, chama lazima kiweke njia na mbinu ya kulinda wanachama wake na moja ni kuwa nao karibu, kuwasikiliza, kuwapa ushauri kuwatembelea, hivi unadhani kwa mfano tukafungua tawi hapa london wanachama tukajichanga tukamwali masalani dr slaa, zitto, mnyika, au halima mdee, unadhani hiyo influence itawafikia watu wangapi?
kwanza lazima utambue sisi tunawasiliana na ndugu zetu walioko nyumbani tuna influence kubwa ni nani wampigie kura au nini wasapoti regea MISRI
pAMOJA MKUUkuwa ughaibuni si lazima kufungamanishwe na ufisadi-poor analysis> Ukweli utabakia kuwa kama mtu anamapenzi na chama chake , say, CDM,siyo vibaya kufungua matawi kadri wapendavyo. Huko USA, Russia, etc. Fungueni tu,ruksa!!!
Inawezekana we Sizinga ukawa umefanya kazi nzuri katika kuhakikisha ule muswada hauendi bungeni kuliko MM? kama unahisi hivyo think again, Mwanakijiji yupo nje na anafanya kazi nzuri sana, amekurupua mafisadi kibao, ameandika makala nyingi zilizochochea mijadala yenye tija, wapo wengi humu ndani wako nje na wanafanya kazi nzuri sana, wazo la mtoa hoja naliunga mkono, tuwaze kujitanua nje ya mipaka yetu
Kama upo London binafsi umefungua matawi mangapi kama bado unategemea Slaa aje akufungulie, inavyoonekana watu mnaanza kulalamika hata kabla ya kufungua je mkifungua si mtadai hadi ruzuku mgawiwe. Hayo matawi ya Reading ya akina maina wa CCM ni matawi maslahi tu hayana maana yeyote si kuwa wana nia ya kuendeleza chama ni kujionyesha ili nao wakumbukwe waulize wamefanya mikutano mingapi kama si kusubiri Msekwa awatembelee ili wapige naye picha.
kama upo london binafsi umefungua matawi mangapi kama bado unategemea slaa aje akufungulie, inavyoonekana watu mnaanza kulalamika hata kabla ya kufungua je mkifungua si mtadai hadi ruzuku mgawiwe. Hayo matawi ya reading ya akina maina wa ccm ni matawi maslahi tu hayana maana yeyote si kuwa wana nia ya kuendeleza chama ni kujionyesha ili nao wakumbukwe waulize wamefanya mikutano mingapi kama si kusubiri msekwa awatembelee ili wapige naye picha.
Mambo ya kujihisi waachie kina Msekwa, nilichosema kuna watu huko nje wanasubiri Msekwa awatembelee wapige naye picha wala hakuna mtu aliyesema wewe unahudhuria kikao cha CCM kwanza sikujui, usijihisi ndugu yangu. Mimi ninachosisitiza ni kwamba kama unataka kufungua tawi fungua tu kama ulivyosema kuna watu wengi hapo London wanaulizia tawi la Chadema halafu kijulishe chama wakati umeshafungua sidhani kama utaambiwa kufunga. Halafu nikasema kuna watu wengi tu wanakisaidia chama na taifa bila kuwa na tawi lolote, tunajua Mwanakijiji yuko Marekani sina uhakika kama ni mwanachama wa tawi la CCM lililojitoa magamba juzi au ana tawi la Chadema huko lakini tunaona harakati zake. Cha msingi tumeshapewa simu ya Katibu Dr slaa +255 783967519 na http://www.chadema.or.tz/ ni kiasi cha kumpigia na kuelezea nia yako kama umeshafungua sawa kama bado sawa vilevile.mkuu hapo kwenye nyekundu unanivunjia heshima, kama kuna watu wanafanya hivyo naomba husinihusishe na mtu yeyote naomba hizo tuhuma wapelekee wahusika, sijawai kuhudhuria kwenye kikao chochote cha ccm, wa jumuiya zao, na hii ni kabla na baada ya chadema kuwa chama mbadala kwa watanzania
Mambo ya kujihisi waachie kina Msekwa, nilichosema kuna watu huko nje wanasubiri Msekwa awatembelee wapige naye picha wala hakuna mtu aliyesema wewe unahudhuria kikao cha CCM kwanza sikujui, usijihisi ndugu yangu. Mimi ninachosisitiza ni kwamba kama unataka kufungua tawi fungua tu kama ulivyosema kuna watu wengi hapo London wanaulizia tawi la Chadema halafu kijulishe chama wakati umeshafungua sidhani kama utaambiwa kufunga. Halafu nikasema kuna watu wengi tu wanakisaidia chama na taifa bila kuwa na tawi lolote, tunajua Mwanakijiji yuko Marekani sina uhakika kama ni mwanachama wa tawi la CCM lililojitoa magamba juzi au ana tawi la Chadema huko lakini tunaona harakati zake. Cha msingi tumeshapewa simu ya Katibu Dr slaa +255 783967519 na Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni kiasi cha kumpigia na kuelezea nia yako kama umeshafungua sawa kama bado sawa vilevile.