Tawi la CCM limefunguliwa

Nafikiri mchoraji kaonesha msisitizo wa jamaa akiwa anaongelea kitu, hapo siyo kicheko bali sura ya kuonesha kuchukizwa na jambo fulani...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo kiongozi wa ccm aliyechorwa ina maana hawezi kupiga mswaki mwenyewe mpaka akenue meno apigishwe mswaki? Aache umwinyi apigwe mwenyewe alaaa!!!.
 
Jamaa kamchora afanane na Ombeni Sefue😂😂😂😂😂


Sefue alikua ana kiranga cha kusoma barua za kutumbuliwa wenzake mpaka alipopewa barua yenye jina lake
 
Halafu picha dizaini kama ipo kwenye lile sanduku au macho yang tu
 
Uchaguzi wa serikali ya mtaa na uchaguzi mkuu ndio hoja zenyewe hizi tunazitegemea upinzani uchukue nchi!
Unawaza uchaguzi tuu, sio mchana sio usiku. Haya baada ya uchaguzi na kuiba kura mnafanyaje tofauti? Au kila kitu as usual?
Ndio maana mkiwa mnaboronga ni ikibidi mjiuzulu hamjiuzulu kwa kushindwa bali mnakumbuka mna NJAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…