Mimi naona kuwaita matapeli si sahihi na ndio maana wakasema bahati na sibu ukikosa wewe jua umemchangia mwenzako na wewe subili siku yako ipo halafu siyo lazima kucheza.unaweza kudumbukiza mia tano kwenye kibubu ndani mwaka unafungua unakua mshindi bila presha.
"Bahati Nasibu" Matokeo yake ni mawili tu.Kwanza kupata, Pili ni kukosa..kama umekosa usilalamike Hujaibiwa, ndio maana mimi napigana vikumbo na muhindi,nashuhudia timu gani imenikosesha ushindi.