TatuMzuka ni matapeli? Karibuni Tujadili.

Desert Voice

Senior Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
159
Reaction score
410
Heading Yangu imeweka angalizo ili kuepuka kuharibu biashara za watu.
Lengo la mada hii nataka sote wacheza kamari tuijadili
Hii kampuni ya TatuMzuka.
Wanadai kuwa kila ushindi wa Jackpot unatokana na namba tatu za Bahati, Mimi nimecheza zaidi ya Mara 50 kila wiki nikicheza zaidi ya ticket 90 ina maana ktk ticket zote hizo zijawahi kupatia namba za Bahati hata Mara moja tu?
Hapo ndo nimeleta hili jambo tujadili pamoja,karibuni wakuu.
 
"Bahati Nasibu" Matokeo yake ni mawili tu.Kwanza kupata, Pili ni kukosa..kama umekosa usilalamike Hujaibiwa, ndio maana mimi napigana vikumbo na muhindi,nashuhudia timu gani imenikosesha ushindi.
 
Mda wako wa kupewa bado haujafika na ukumbuke hawafanyi biashara kichaa pesa zao walizo wekeza zinatakiwa zilete faida ya mabilion kirahisiiiii wanatangaza kila media pesa wanayotumia kwa promotion si ya kitoto alafu serikari nayo inataka kodi 20% wewe ushindi wako na ushindi wa wengine unatokana na kuchangiana nyinyi wakamaria wenye akili robo na nusu
Mfano ni rahisi ni kama vicoba wanawake wanavyofanya tofauti yake kamari hii wakikupa hawahiyaji marejesho.
 
Unajua maana ya bahati?
japo ni bahati lakini unapokuwa umecheza mala nyingi zaidi ndio nafasi ya ushindi inaongezeka!!cha kujiuliza kwanini wengi wanodai wameshinda wanasema mala nimechza 500 ama 1000!!tuukwanini wanle wanaocheza labda laki moja??na mala nyingi unakuta washindi wengi ni wale watu wa maisha ya chini kabisa?!!!mala mama lishe,mbeba mizigo sokoni!!!!!
 
Mwenyewe nashangaa hapo kwa washindi. Konda, dereva wa school bus, mama wa nyumban etc ndio wanakua washindi
 
WAJINGA TU NDIO WALIWAO MKUU.
 
Nadhani kwenye tangazo lao wamesema cheza mwa kiasi. Kama sijakosea kuwanukuu
 
Alafu asilimia kubwa washindi ni kutoka dar es salaam nadra sana mshindi kutoka mikoani
 
Haujashinda na leo poleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kati ya kampuni zisizoiba cha mtu basi ni 3mzuka ukitaka kuamini maneno yangu ebu kawajaribu 1bet

1bet kwanza hata jinsi washindi wanavyopatikana haijulikani yaani hata website yao haileweki mwisho sasa wametoa namba za Simu lakini hata upige VP hautapokelewa
 
Yaan kitu kinachorudisha watanzania nyuma ni.kudhani kila kitu ni utapeli, hakuna kitu kitakuja kuendelea Tanzania, tatu mzuka hao wameshakueleza ni bahati nasibu unasema matapeli, inaonekana neno kutapeli limeshuka hadhi yake hahah
 

Tatumzuka, BIKO n.k achana nazo , Jaribu kubet. Hii ni michezo hivyo usiitegee kama chanzo cha mapato vile ucheze kwa kiasi.
 
Njoo kwa muhindi ule au uliwe ukishuhudia mwenyewe.. Mambo ya tatu mzuka, biko ni sawa na kumtumia nauli demu akuje ghetto halafu akazima simu.
 
Yaan kitu kinachorudisha watanzania nyuma ni.kudhani kila kitu ni utapeli, hakuna kitu kitakuja kuendelea Tanzania, tatu mzuka hao wameshakueleza ni bahati nasibu unasema matapeli, inaonekana neno kutapeli limeshuka hadhi yake hahah
Wewe ni wale wale
 
Acha kulia lia kama Dada yenu yule msanii anae lalamika na kulia lia mitandaoni kuwa almasi hajawahi kumsaidia.


Si aombe tu Mungu kampa sura nzuri ,je angekuwa na kama yangu? Achana na hili.


Wewe kijana cheza , as longer Serikali inakusanya mapato ili zikujengee na kusaidia kutoa huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…