Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,998
- 103,384
Kura yangu iliisha kuwapa upinzani uchaguzi wa 2015 baada ya hapa sitawapa tena kura yangu baada ya kuwajua ni makanjanja ya kisiasa tu.
Mkuu hamna mtu anahitaji kura yako, kama unaona kura yako ni kubwa kama nyumba ingia ukae humo ndani maana hamna mpinzani anaihitaji. Tena ikibidi na za ukoo wako waambie wasiwape wapinzani. Wape ccm ili uwaepushe na aibu ya kuwatumia polisi kutangazwa washindi.