Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,193
- 144,058
Lol... eti Nyani Ngabu kwenye titi!!
Kama kweli hajutii kuweka tattoo hiyo hata baada ya kuwa mmeachana, basi huyo demu yaonekana ni mzuka! Ni bora kwamba kila mmoja alichukua chake.
Btw, je ulifanikiwa kuona/kujua kuwa alikuwa hana tattoo nyingine yoyote ile mwilini mwake aliyoweka kabla yako?!
Lol... eti Nyani Ngabu kwenye titi!!
Kama kweli hajutii kuweka tattoo hiyo hata baada ya kuwa mmeachana, basi huyo demu yaonekana ni mzuka! Ni bora kwamba kila mmoja alichukua chake.
Btw, je ulifanikiwa kuona/kujua kuwa alikuwa hana tattoo nyingine yoyote ile mwilini mwake aliyoweka kabla yako?!
Hapo zamani niliwahi kutoka na msichana mmoja aitwaye Crystal. Nilikutana naye akiwa pre-med student na lengo lake lilikuwa ni kwenda medical school na baadaye kuja kuwa daktari wa watoto.
Sijui hawa mademu wasomi wasomi nilikuwa nawapataje tu maana elimu yangu mwenzenu hapa ni ya ngumbaru.
Basi bana siku moja akanijia na wazo la kujichora tattoo. Mimi nikamhoji anataka kujichora tattoo ya nini na wapi. Akasema anataka kujichora tattoo ya mkuki moyoni halafu juu yake ajichore jina langu: Nyani Ngabu.
Nilimshangaa na nikabaki nimeduwaa. Binafsi siyahusudishi kabisa matattoo. Sielewi kwa nini watu wanajichora. Kwangu naona kama naharibu tu ngozi yangu na likitu ambalo halifutiki (well, siku hizi kuna teknolojia za kufuta hizo tattoo lakini ni bei mbaya sana). Ukija kulichoka hilo litattoo utafanya nini? Aaah kila mtu na maamuzi yake na sipingi wengine kujichora. Ni kwamba tu mimi hapana. Sitaki huo uchafu.
Basi siku moja mimi niko ndani naangalia telly naye Crystal huyo akaingia. Akanisalimia na kunikumbatia mimi asali wake. Akaniambia ametoka kuchorwa ile tattoo aliyoniambia anataka kuchora. Nikamwuliza iko wapi hiyo tattoo. Akafungua vifungo vya blauzi yake na akanionyesha katikati kwenye titi lake la kushoto.....mkuki moyoni na jina langu - Nyani Ngabu kwa juu yake.
Sikutaka kumhoji sana lakini kichwani nikawa najisemea mwenyewe hivi huyu anajua kweli anachokifanya? Kwanza umeenda kuharibu mwili wako na kitu ambacho hakifutiki, pili unaandika jina langu huku huna uhakika kama tutakuwa pamoja milele.....nikatikisa kichwa na nikajinyamazia nisije onekana mpinga maendeleo au mpinga vitu ambavyo wengine wanapenda.
Baadaye tukaja kuachana na kila mtu akaenda kivyake. Nina uhakika kabisa baada ya mimi alitoka na njemba zingine. Heheheheee....kila nikifikiria kuwa hizo njemba wakati zinatomasa tomasa matiti yake zilikuwa zinaona jina langu....basi kila nikifikiria hivyo kichwa changu kinaongezeka ukubwa na sijui kwa nini.
Nimekutana tena na Crystal wiki hii na tumeongelea mambo mengi ikiwamo hiyo tattoo. Kasema bado anayo na hajutii kujichora. Sasa sijui nielewe vipi?
Mmh,mwenzetu jina lako halisi ni Nyani Ngabu?
Mimi uzoefu wangu kuhusu tatoo ni huu....
Wakati nipo college tulikuwa na tabia ya kwenda
jolly club.pale pembeni ya calirfornia dream just to have fun..
Sasa siku moja nikagundua karibu kila msichana anaejiuza pale ameweka
tatoo,
ajabu hata wasichana wageni kabisa wa jiji nao wana tatoo....
Ikabidi nimuulize mmoja,why kila msichana pale ana tatoo.....
Alinijibu kuwa wateja wao hasa wazungu wanapenda mno
wasichana wenye tatoo....
Toka siku hiyo nikuwa na negative opinion na wasichana wenye tatoo....
But nimesoma na wasichana wengi decent pia wana tatoo......
Na siku moja nilikuwa nasoma gq magazine la uk nikakuta article
inahusu wasichana wanaojiuza na tatoo....
In a way imenifanya siku zote niwachukuie wasichana wenye tatoto
kama machangudoa hivi ingawa najua sipo sahihi.....
...ungemchunguza zaidi....! Kama huyo Crystal anatokea Trinidad, yawezekana kabisa alikuwa tayari na tattoo nyingine ya Steve Dii kwenye t*ko lake kushoto!!
Boss utashangaa...kuna watu na profession zao wakikuvulia nguo utabaki mdomo wazi. Kuna mmoja huyo nilimpataga anafanya kazi Centers For Disease Control and Prevention....yeye ni Epidemiologist na anakamata kisu cha nguvu tu. Ukimuona akiwa kavaa kwenda kazini anaonekana ni mtu ambaye hawezi kujichora chora matattoo (but of course looks can be deceiving).
Mwilini ana tattoo tano. Moja mgongoni, kwenye titi, kiunoni, kwenye kitovu, na ingine ya kipepeo kwenye paja karibu na mashine. Binafsi sielewi kwa nini watu wanajichora hayo matattoo..
mie nimewahi kukutana na mmoja ni mwalimu wa St .... alikuwa amechora tattoo ya ua kwenye paja pembeni kabisa ya mbunye nikamuuliza amechora wapi akaniambia kwenye kona ya UDSM kutokea Ubungo,
Nikamuuliza imekuwaje mpk mtu amchore kule bila kugusa mbunye akasema alikuwa amevaa nguo ya kuogelea ila anadai mkono ulikuwa unafika juu ya mbunye na jamaa alikuwa anasimamisha lakini alimaliza bila tatizo la kiufundi
mhhh najina unamtaja wewe NN wewe...